Program Note: Operesheni Zinduka - 5 Oktoba 12

Tunatarajia hutaingia mitini na kujifanya huzioni nyuzi korofi kwako kama kawaida yako unapobanwa kwenye kona!
 
.... ... Kuna wengine tunawachomoa humo kwa sababu .. wanashindwa kujibu hoja hivyo tunawatimua tu. Hoja hujibiwa kwa hoja .....

.... dah, wanaposhindwa kujibu hoja kwa taste mnayotaka mnawatimua!
 
Program Note:

1. Kundi letu la OZ (Operesheni Zinduka) kwenye Whatsap tayari limeshajaa (watu zaidi ya 100) ndani ya masaa 24! Na kuna wengine wengi ambao bado hawajaingia - tulifanya kwa first come basis). Kama haupo humo ndani tunaangalia utaratibu mwingine. Kuna wengine tunawachomoa humo kwa sababu wanaleta lugha za matusi na wanashindwa kujibu hoja hivyo tunawatimua tu. Hoja hujibiwa kwa hoja - simple as that.

2. Operesheni Zinduka 5 inaendelea kesho na mada moto moto ya kuvunjilia mbali mojawapo ya hoja dhaifu zinazotolewa katika kudai "mabadiliko" ati wanataka (wale waliomkubali Lowassa na mambo yake yote) kuiondoa CCM madarakani ili kuonesha kuwa "Tanzania ni yetu sote". Usikose mada hiyo moto moto. Nipe dakika 10 hivi nitakupa masaa yako 24!

3. Kama kawaida nimeshangaa watu wengine ambao tayari wamemkubali Lowassa na wameshaamua kumpigia nao pia wanaingia OZ... kule ni kwa wale ambao hawajafanya maamuzi tu wanataka kubadilishana mawazo. Tunawakaribisha lakini kama hutazingatia hilo la 1 tutakutimua tu. Siku 14 hatuna wa kumpa maonyo.

MMM

Hivyo vyeo mlivyoandaliwa na Dr Mihogo naona bado vinawatesa. Lkn tabaka kubwa unalojidai kuzindua hapa JF ni tabaka la watu wenye uelewa na misimamo yao. Wapo watu ambao ni CCM tu hata ufanyeje wanabaki kuwa hivyo; wapo watu wengine ambao ni ACT-WAZALENDO tu piga ua wanabaki ACT; wengine ni CHADEMA piga ua wanabaki kuwa hivyo; wapo wengine ambao walikuwa CHADEMA kwa sbb ya Dr Mihogo, hao nao walishaondoka naye. Hiyo ndio hali halisi! Kumbuka tu kuna maisha baada ya uchaguzi mkuu mkuu. Pia, kuhusu Dr Mihogo maji yalishwamwagika, hayawezi kuzoleka
 
Hivi ni watu wangapi ambao wameshashawishiwa na hii Operesheni Zinduka?
 
Hivi ni watu wangapi ambao wameshashawishiwa na hii Operesheni Zinduka?[/QUOTE

NONE

Mzee Mkjj bana, cha kushangaza anasema oz ni kwa wale ambao hawajaamua wakati yeye na mashabiki wa hii oz ni walewale tunaowajua kuwa ni manazi wa chama twawala hivyo walishaamua tayari!!
 
unafki, uoga, undumilakuwili, ubinafsi. Utawamaliza. Poleni sana. Kila siku ntaendelea kuwakumbuasha kizazi chenu kinapita. Kizazi cha kushangilia familia chache zikoitafuna nchi huku mnawapigia makofi. Hiki kzazi ni kingine na kitaleta heshima tanzania. Poleni sana.

Lazima tuheshimiane. Hawawezi kututafuna miaka hamsini eti bado waje tuendelee kutafunwa na kuwapigia makofi. Mdumo wa ubwanyenye. Umangimeza sasa mwisho. Adabu iwepo.
 
Hivi ninyi kina Mwanakijiji mpo ground kweli au?

Endeleeni na porojo...

Mimi niko Musoma na leo nimeshuhudia, huu mziki Slaa asingeuweza...

Endeleeni kutunga mashairi humu, na tudanganyeni mnavotaka kuwa mko kwenye system...

Na Lowasa tumempa cheti cha ushujaa kuongoza mabadiliko 2015...

Una mahaba wewe,Slaa alikua anakusanya watu zaidi ya hao tena bila kuwasomba
 
Ninashukuru sana kufahamu kama kuna Watanzania ambao wanachokisema wanamaanisha.

Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.
 
Sikutegemea hili kutokea tena kwa Mwanakijiji. Tunaimba wimbo wa mabadiliko pamoja na hayo kumbe wengine wanaenda na biti walikua hawajui uelekeo. Uelekeo ni Lowasa ikulu mbele tembea
 
Hizo zote tisa,na tushazoe na kuuupuuza udaku kama huu pia jiiteni majina yote hata ya shetani hatuogopi kwani vibarua vyenu vitaisha pale ifikapo trh.25 tutakapo mzika huyu anaewatia kiburi,,na wananchi watasema buriani fisiem,,!
 
Program Note:

1. Kundi letu la OZ (Operesheni Zinduka) kwenye Whatsap tayari limeshajaa (watu zaidi ya 100) ndani ya masaa 24! Na kuna wengine wengi ambao bado hawajaingia - tulifanya kwa first come basis). Kama haupo humo ndani tunaangalia utaratibu mwingine. Kuna wengine tunawachomoa humo kwa sababu wanaleta lugha za matusi na wanashindwa kujibu hoja hivyo tunawatimua tu. Hoja hujibiwa kwa hoja - simple as that.

2. Operesheni Zinduka 5 inaendelea kesho na mada moto moto ya kuvunjilia mbali mojawapo ya hoja dhaifu zinazotolewa katika kudai "mabadiliko" ati wanataka (wale waliomkubali Lowassa na mambo yake yote) kuiondoa CCM madarakani ili kuonesha kuwa "Tanzania ni yetu sote". Usikose mada hiyo moto moto. Nipe dakika 10 hivi nitakupa masaa yako 24!

3. Kama kawaida nimeshangaa watu wengine ambao tayari wamemkubali Lowassa na wameshaamua kumpigia nao pia wanaingia OZ... kule ni kwa wale ambao hawajafanya maamuzi tu wanataka kubadilishana mawazo. Tunawakaribisha lakini kama hutazingatia hilo la 1 tutakutimua tu. Siku 14 hatuna wa kumpa maonyo.

MMM
MMM Mgombea wenu Magufuli kawaacha solemba......
 
hayo ni mafuriko (sic)!

but that's a wee bit too little too late. Tanzanians have already decided to kick CCM out.
 
Hivi ninyi kina Mwanakijiji mpo ground kweli au?

Endeleeni na porojo...

Mimi niko Musoma na leo nimeshuhudia, huu mziki Slaa asingeuweza...

Endeleeni kutunga mashairi humu, na tudanganyeni mnavotaka kuwa mko kwenye system...

Na Lowasa tumempa cheti cha ushujaa kuongoza mabadiliko 2015...

Watu wa Musoma sio Manyumbu. Labda wewe peke yako.
 
Back
Top Bottom