Profile la kijana mkataa ndoa

Mkuu wanaume ni hawa ambao hawajafikisha 30?
 
Hayo matatizo uliyoweka ni kama vijana tumekataa wanawake.. [emoji23][emoji23][emoji23]

Hell no.. Wanawake na vipochi vyao tunawataka ila ndoa hapana [emoji23][emoji23][emoji1430][emoji1430]
 
Huo u PhD uzwazwa hakuna lolote unalojua kuhusu nyeto , nyeto Ni chakula Cha mwili , nyeto Ni salama, nyeto is everything
 
Naona umekimbia kuhusu wewe kuwa mchukia wanawake, nilisema pale juu unajifanya kutoelewa tu ila somo linakuingia vilivyo....

Utapeli ni upi, mbona wanaume wengi wanaingia ndoani sasa ina maana wote ni wajinga nyie ndio werevu sana?

Nikmbie vipi?
Akili yako naona unatatizo, umetoka assumption yako, huwaga sibishanagi na assumption na watu kuhusu vile wanionavyo.

Mada uliyoianzisha haihusiani na hoja Mpya uliyoianzisha ndio maana nimeipuuza, ukitaka nichangie hoja Mpya kuhusu hiyo assumption yako anzisha Uzi uniite Nike tujadili.

Kwa sasa tunajadili hoja uliyoweka mezani.
Ndio nikakuambia Vijana wengi wanapinga ndoa Kwa sababu ya Utapeli na UHUNI unaondelea hivi SASA.
Nikatoa hoja kuwa mfano MTU anataka chake kiwe chake, alafu chako kiwe chenu wote huoni huo ni Utapeli na Unyonyaji.

Wewe ukaja na hoja sijui ya Mimi nawachukia Wanawake. Kufikia hapo nikaona hapa kichwa hakina upepo
Ila ninakujibu Kwa wasomaji watakaosoma Leo kesho na siku zijazo.
Sio Kwa faida yako
 
Alisikika feminist mmoja [emoji81]
 
Kumbe ulivyokuwa unabishana na mimi hukujua ile ni assumption??? ...na kwani hizo assumption zinatoka hewani tu na sio kuwa constantly unaleta mada za kipuuzi kuhusu wanawake???!

Hoja ipi nimeweka mezani mpuuzi wewe???? hapa nimeweka profile la mkataa ndoa, umepinga umekataa profile hili??? au umekuja kama lilevi na ishu zako za ndoa ni utapeli?!

Mpaka hapo wewe ndio mweupe, by the way chake kitabaki kitakuwa chake na chako ni cha wote itabaki kuwa hivyo, im stating the obvious, huo ndio ukweli mchungu.....
 
Nani kalazimisha kuhudumiwa kama uwezo hakuna???? financially stable nimemaanisha ukiwa hivyo hutaona kuna shida kumhudumia mkeo, ila ukiwa financially unstable ndio utaona kila kitu ni utapeli...

Ndio maana nauliza suala la ndoa nikwa ajili ya only finanancilly stable guys? kwamaana kama suala lakumuhudumia mke nikipengele cha ndoa je mmeo akiugua au akipata permanent disability ya ajali ndii umkimbie maana unachowaza nikuhudumiwa,kuna jamaa angu kapata ajali huu mwaka wanne anaugulia kakimbiwa namkewe alikua ndio hawa chawa anaowaita ndugu yetu Heriel.

Ndoa nikwa ajili ya mke namme kwa pamoja sio kwa ajili ya mmoja kumuhudumia mwingine,je akiugua au akiapata tatizo ahudumiwe nanani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa zimekuwa changamoto Sana miaka hii kuna kesi nyingi mahakamani wanawake kutaka ndoa ivunjwe ili ufanyike mgawanyo wa mali licha ya hivyo kwa Upande wangu sifurahishwi na hii kampeni ya kukataa ndoa sielewi sababu za msingi za kuendelea na kampeni hii ni kama kuna jambo nyuma ya pazia kuhusu kampeni hii watu wametumwa kwa lengo maalumu
 
Mnhhhh wewe naona hatuelewani, kuhuduhumiwa inaendana na uwezo unahudumia unapoweza, kuwa financially unstable ndio mara nyingi ukakasi unapotokea kwenye kuhudumia, sasa hayo mengine utajua mwenyewe...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…