Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,487
- 2,422
- Thread starter
-
- #101
sijakurupuka kusema wewe unachukia wanawake, sijabase kwenye topic moja tu, wewe unachukia wanawake....halafu nimejua nabishana na mtu mmoja anayejifanya kutoelewa....ila twende hivyo hivyoMimi sinachuki na MTU.
Kuwaambia ukweli mnaita chuki.
Ukiwa Mwanamke lazima uwe MKE kweli.
Tafuta ujuzi kama ni mwalimu, au Daktari, au mwanasheria, au MPISHI, au fundi Nguo, n.k.
Zalisha uchangie Pato la Familia.
Sio uwe Kupe nyonyaji, utake kuhudumiwa kama Maiti au Mdoli, huo ni uvivu na dalili ya ujinga.
MKE ni Msaidizi, unaolewa ili ufanye Maisha na Mumeo na sio Mumeo akuhudumie wewe kama NGEDERE WA maonyesho.
Zitaje hizo jamiii zinazotoa wanawake tegemezi?!Umepoteza muda bure.
Ukioa Mwanamke wa Aina Hii lazima uzae kizazi kivivu, kizembe, kibinafsi na fukara.
Huwezi OA Mwanamke wa Aina Hii alafu ukawa tajiri hata siku moja.
Angalia jamii zinazotoa Wanawake tegemezi alafu uone zilivyomaskini.
Yaani Mwanamke anategemea ndoa ndio biashara alafu akistaafu/wakitalakiana apate mafao yake ilhali hakuna alichochangia.
H
🤣🤣🤣Mm natafuta uwanja zichapwe live kwanza😂😂😂
sijakurupuka kusema wewe unachukia wanawake, sijabase kwenye topic moja tu, wewe unachukia wanawake....halafu nimejua nabishana na mtu mmoja anayejifanya kutoelewa....ila twende hivyo hivyo
Hakuna replacement ya mwanamke acha upotoshaji.hapana, iko vile vile
ME wengi wakigundua nguvu ya BabyCare wallahi mbona KE watakosa soko
Kwa hio msaidizi mke alikua hauhudumiwi?????Shida yako ni kuhudumia??? kaazi kweli kweli...nilisema pale juu most mko financially insecured sijui kama ulinielewa???? mwanaume financially yuko njema sidhani kama ataona shida kumhudumia mke wake...
Zitaje hizo jamiii zinazotoa wanawake tegemezi?!
uko nje ya mada mkuuHakuna replacement ya mwanamke acha upotoshaji.
Punyeto ni dharura tu hata wanawake wanafanya yao lakini mwanamke mwenye homoni ziko sawa hawezi kukwambia kuna mbadala wa mwanaume.
Ingekuwa hivyo basi wanawake wangekubali kuolewa na makhanisi wanyonywe nyuchi zao na kutowa vidole wakojowe, jiulize Kwa nini mwanamke atanyonywa uchi lakini finally anataka boro?
Boro yake kumer usidanganye Watoto wadiojitambuwa humu, huo ni ubinafsi kupitia kiasi.
Naunga mkono asiyetaka ndoa Kwa sababu zake fine, lakini siungi mkono kampeni yako ya kuzalisha makhanisi ile baadaye wafilwe huu ni uboya.
Kataa ndoa nunuwa Malaya ukojowe hilo naunga mkono.
Kuoa ni kama umesaini kifo muda wowoteKATAA NDOA
OA UGONGEWE MKEO UDHARAULIKE
😂😂😂Mtanivunja mbavu Sasa ngedere amefikaje hapa 😂
haaaa Kulelewa na mwanamke au kuoa mwanamke hakukufanyi wewe kuwa sio mMisogynist!...utetezi wa kijinga kabisa huu.... unamchukia mama yako subconsciously na mkeo hana furaha sababu wewe unachukia wanawake, so kua nae sio ishu....kitendo chako kila ukizungumzia wanawake ni negatively kinakufanya wewe ni mchukia wanawake sio hao majirani zakoNinyi mmezoea kuambiwa uongouongo ndio muone mnapendwa.
Mkiambiwa ukweli mnaona mnachukiwa.
Utajua mwenyewe wewe na wote wenye Mtazamo huo.
Nimelelewa na wanawake, nimekuzwa nao, nimeoa na ninamke alafu useme ninawachukia. Situmii Fake ID, ninandugu humu, ninamarafiki humu wakike, Nina wafanyabiashara wenzangu humu,
Ninamajirani zangu humu, hao ndio wanajua uhalisia wangu ukoje.
Koma wewe, nimekuambia zitaje kama umeshindwa kaa kwa kutuliaJamii unayotoka wewe ni mojawapo. Sio ajabu ukoo na familia yenu ni Maskini Kwa Akili hizi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sijui masika ya ngapi hiiParagraph ya mwisho inadhihirisha stress zilizojaa kwenye vifua vya waliokosa wa kuwaoa.
Nani atataka Shangazi?Shida iko hapa....
Watakuja kuliwa mboga 40 zikifika!!
Nonsense, eti kama anapretend atajua mwenyewe....moja inaonyesha hujali hata hio ndoa yako...sijui kwa nini watu wakusikilize wakati hata ndoa yako mwenyewe mkeo hujui kama ana pretend or not,,,,,,,,,,
Kumhudumia mwanamke ndio unaita ukahaba????? utasema yote lakini mwanaume rijali anajua mwanamke matunzo!
Baki na mkeo anayejifanya mzalishaji mali, hapendi kuhudumiwa, wakati wewe mumewe hujui kama ana pretend kwenye hili or not....
Halafu ungekuwa mjanja ungejua kuzalisha mali wote haihusiani na wewe kutotaka kumhudumia mkeo!
ni wavivu tu wanatunzwa na sugar mummies1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30's and under...
2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially..
3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.
4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships,
5. Most ni wana ishu na mama zao, hii imewapelekea kutokuwa na healthy relationships hivyo kupelekea kuchukia zaidi wanawake.
Mnaopinga ndoa simply kuweni na faken life!...acheni upuuzi wa kuinfluence wengine negatively.
Koma wewe, nimekuambia zitaje kama umeshindwa kaa kwa kutulia
Inamaana dada yangu ndoa nikwa walio financially stable tu??ndio manaa vinana wanapinga unyonyaji kwann ulazimishe kuhudumiwa wakati mtu hana uwezo wakukuhudumia???kama ndoa ni kwa ajili ya wanaume walio financially stable basi hoja za wazee wakataa ndoa niunyonyaji nautapeli wako sahihi,maana sio lazima tulingen uchumi dada.
Sent using Jamii Forums mobile app