Profile la kijana mkataa ndoa

Mwamba uko vizuri comments zako zinaishi naziko real,ndoa kwa mwanamke imekua ni ajira kabisa yaani,nikama mwanamke anafadhiliwa chakushangaza akishaolewa anakwenda kumgasi hadi mfadhili wake(mme) anataka sasa amiliki mali za mfadhili wake ziwe zake kwakisingizo cha ndoa nawatoto ,mwenye nyumba(mme)anageuka kama mlowezi au mhamiaji haramu ndani ya nyumba aliyoijenga nakuianzisha yy mwenyewe kwa lengo zuri.

Ndio maana wadau wakataa ndoa wanamashiko kama mwanamke hana agenda zozote au kitu cha kuoffer ktk ndo zaidi ya mbususu hana sababu zakuolewa,ila ktk hili bado wanaume wengi hatujatoka ktk usingizi huu mzito wakwann nimuoe huyu sababau gani zinifanye nimchukue huyu kama mke(msaidizi wako) for the rest of my life

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye issues na mama zao ndo pamebeba mengine yote.
 
Amina mtumishi 🙏
 
Huyo anayechukia wanawake ndio anakuongoza,be smart!

Mimi sinachuki na MTU.
Kuwaambia ukweli mnaita chuki.

Ukiwa Mwanamke lazima uwe MKE kweli.
Tafuta ujuzi kama ni mwalimu, au Daktari, au mwanasheria, au MPISHI, au fundi Nguo, n.k.
Zalisha uchangie Pato la Familia.
Sio uwe Kupe nyonyaji, utake kuhudumiwa kama Maiti au Mdoli, huo ni uvivu na dalili ya ujinga.

MKE ni Msaidizi, unaolewa ili ufanye Maisha na Mumeo na sio Mumeo akuhudumie wewe kama NGEDERE WA maonyesho.
 
💯🤝
 
mara mwisho ku-sex ni Dec 2020, nadate na BabyCare

mpaka leo hii, ni mara 4 kwa siku, mchawi 5000 tu tena kila baada miezi 7 mpaka mwaka
Kama unachoandika hapa ni cha ukweli nakuhakikisha unautafuta ukhanisi, huna muda mrefu utakuwa khanisi kamili huwezi kusimamishwa mboo tena.

Narudia tena punyeto unaleta ukhanisi, watu wafanye pale inapolazimu tu, lakini punyeto haiwezi kuwa replacement ya mwanamke never usipotoshe hawa Watoto humu kumbe labda hapo ulipo pembeni una demu unamla, hiyo ni roho mbaya na ubinafsi wa hali ya juu.
 
Nonsense, eti kama anapretend atajua mwenyewe....moja inaonyesha hujali hata hio ndoa yako...sijui kwa nini watu wakusikilize wakati hata ndoa yako mwenyewe mkeo hujui kama ana pretend or not,,,,,,,,,,

Kumhudumia mwanamke ndio unaita ukahaba????? utasema yote lakini mwanaume rijali anajua mwanamke matunzo!

Baki na mkeo anayejifanya mzalishaji mali, hapendi kuhudumiwa, wakati wewe mumewe hujui kama ana pretend kwenye hili or not....

Halafu ungekuwa mjanja ungejua kuzalisha mali wote haihusiani na wewe kutotaka kumhudumia mkeo!
 
😂😂😂Mtanivunja mbavu Sasa ngedere amefikaje hapa 😂
 
Narudia tena punyeto unaleta ukhanisi,
labda

haiwezi kuwa replacement ya mwanamke never
kwangu mimi binafsi punyeto ni replacement ya mwanamke, daima milele
nakojoa mda wowote nnaotaka, sipati magonjwa yenu hayo ya ajabu ajabu, mara unakojoa usaha, situmi hata senti moja nikitaka kokojoa

pesa yangu anakula mama yangu mpendwa tu
 
KATAA NDOA,KATAA UTUMWA
point holela zenye mihemko kama hizi zinaonesha mahusiano yako yana shida mahala...
 

Umepoteza muda bure.
Ukioa Mwanamke wa Aina Hii lazima uzae kizazi kivivu, kizembe, kibinafsi na fukara.
Huwezi OA Mwanamke wa Aina Hii alafu ukawa tajiri hata siku moja.

Angalia jamii zinazotoa Wanawake tegemezi alafu uone zilivyomaskini.
Yaani Mwanamke anategemea ndoa ndio biashara alafu akistaafu/wakitalakiana apate mafao yake ilhali hakuna alichochangia.


H
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…