Profile la kijana mkataa ndoa

Aiseeee! Japo mimi ni open minded ila hii yako ina bounce! Kuhudumiwa ni kuhudumiwa hakuna definition nyingine acha kukaza kichwa.

Kwanini unalazimisha definition ya kuhudumiwa ibadilike? kuhudumia ni taking care acha kumanipulate situation bwana tutakuchoka!

Ni ngumu ndio kukuelewa unachozungumzia sababu hakipo hivyo, tutaelewaje kitu cha uongo au ambacho hakipo hivyo? yaani utupotoshe halafu tukuelewe.

Tunahudumiwa na tunawahudumia waume zetu PERIOD!

Sisi ndio wanawake, tunakuambia mkeo hawezi kuwa nafuraha elewa, wacha kuact as if mkeo ametokea mbinguni, afu ninyi wakataa ndoa wanafiki sana nimegundua πŸ˜‚
 
tamthilia za kifilipino zinakuharibu, wanalipwa wale
acha kuziangalia
 
what a NONSENSE....

Kwa hio ndoani hakuna kuonyeshana upendo ni kipindi cha uchumba tu...

khaaa halafu kuna mtu atapinga sijui kumjua mjima nikimuona mmojq...


RUBBISH
 
Usikimbie swali, nimekuuliza lini tumejengewa hio mifumo ya sisi kuhudumiwa, karne gani na nani??? ukiniquote jibu hili swali....

eti ndoa ni upendo, na hapo hapo hutaki kumhudumia mkeo,upendo unauonyesha kwa kufanya nini???

Ndio maana nikakuambia hujui maana ya Ndoa. Na hujui ndoa inajengwa na nini.

Kama kwenu tafsiri ya Ndoa hamuijui, hata upendo wenyewe hamuujui, ndio maana badala ya kufanya ndoa iwe ndoa inakuwa ndoano, na Utapeli.

Ipo haja ya Elimu kutolewa, maana nimegundua kuna Watu wengine hawajui hata wanachokitafuta
 
kuonyeshwa upendo ni wakati wa uchumba tuu....haaa afu unataka tupate elimu ya ndoa, elimu gani hio unayotoa wewe???!
 
Ni vema andiko hili limeandikwa na mwanamke.

Ndoa ni ya mwanamke, lakini wanawake wengi bado ni wasichana hawalieweli hilo.

Wanaume hatuna shida ya ndoa. Mwanaume anaoa kwa sababu mbili kuu:

1. Anaamini katika dini kwa hiyo bado anaogopa dhambi.

2. Kuna mazingira yanambana au yanamshawishi kuoa, mfano mwajiriwa wa serikali kuna mazingira ya kumbana au kumshawishi aoe.

Lakini katika hali ya kawaida mwanaume hahitaji ndoa. Ndoa ni hitaji la mwanamke.

Sasa cha kushangaza ni kwamba wanawake ndo wanaringa. Yaani wao ndo wana shida ya ndoa, lakini ikitokea mwanaume amejitokeza unakuta mwanamke ndo kinara wa maringo.
 
Lakini muulize anapataje muda wa kufanya punyeto kutwa mara 3? inamaana muda wa kazi anachukua break ya punyeto? huyu anahitaji msaada wa dhati kabisa japo hajaweza kukiri.

Shida ya JF imejengwa katika misingi ya uongo uongo bila kujua kuna watu wana akili za kushikiwa wataenda kujaribu kila kinachosemwa humu.

Preach Matola preach.
 
Kwani wewe personally una mchango gani kwa huyo uliye nae?
Sasa Kama hakuna mwenye mchango na mwenzie kwann unaforce uwe mwili mmoja na mtoto wa mwanamke mwenzio

Yani nyie mnataka muolewe mringishie mabwana zenu wa zaman mringishie na mashoga zenu muanze kuzunguka salon umbea et nimeolewa natunzwa na mume wangu

πŸ˜‚Hio kwa Sasa mtasahau Yani mnataka mkitoka kulelewa na wazazi muhamie kwa mume nyie hamfanyi kazi Ni Kama mifugo Tena Bora mbuzi itatoa hata maziwa nyie Ni useless fanya kazi jioe au olewa na mwanamke mwenzio
 
what a NONSENSE....

Kwa hio ndoani hakuna kuonyeshana upendo ni kipindi cha uchumba tu...

khaaa halafu kuna mtu atapinga sijui kumjua mjima nikimuona mmojq...


RUBBISH

Hivi wewe unaakili kweli?
Hivi unaweza muonyesha MTU kitu kinachoonekana?
Yaani upo baharini alafu unataka uonyeshwe bahari?
Ndio maana mnaambiwa ninyi ni matapeli, na wadhulumaji.

Mwenye upendo hafundishwi kupenda, na mwenye kupenda haonyeshwi Upendo.

Bado utatoa machoπŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa sababu mmezoea kutapeliana,
Uonyeshwe upendo kwani wewe ni kipofu?
Mapenzi hayajifichi mpaka yafichuliwe. MTU kama hakupendi hakupendi unataka mpaka akuonyshe πŸ˜‚πŸ˜‚

Upendo wa maonyesho ndio Utapeli wenyewe huo tunaouzungumzia hapa.
Ndio ninyi mkianza mahusiano mnakuwa na Kasi Kwa sababu mnaonyeshana ATI UPENDO πŸ˜‚πŸ˜‚yaani uhuni uhuni tuu! Baada ya miaka mitatu mayowe! Ooh! Umebadilika, sijui siku hizi haunipenda, hivi tangu lini upendo ukabadilika au ukachuja?

Bado unamengi ya kujifunza, ukijifanya mbishi endelea na ubishi wako.
Maana wengine kunielewa inawachukua miaka na miaka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…