Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,846
- 90,307
sasa kimbwa kukipa soda si ndio unafiki wenyewe huo?,tufanye mimi ni kimbwa kweli does that mean mkeo ni mnafiki kweli? khaa
Ndoa ni ajira kwao, watakufa njaaKwa nini wanaoumia sana na katazo la ndoa ni wanawake!
Haaa utajuaje kama akileta utapeli kama hata kujua anapretend ama not hujui???Mnafiki Kwa Ngedere na vimbwa!
Hiyo sio shida, Mimi ndiye nimemruhusu.
Kwangu shida ni akileta Utapeli kama wako
Suala la nani alitunga sheria kwa sasa halina umuhimu cha kuzingatia ni je izo sheria zinatenda haki? Wewe binafsi unaonaje. Je sheria ya ndoa inatenda haki kwa jinsia zote mbili? Tuchukulie mfano wa ndoa ya klyn na mzee mengi., je klyn ana haki ya kurithi mali wakati huo utajiri wote aliukuta?Tufanye usawa hakuna, ila hizi sheria zilitungwa na wanawake pekee?? si ni jopo la wanaume pia ndio walitunga hizo sheria?? na mbona kuna wanaume wenzenu kibao tu wanaoa ingawa wanajua kabisaa wakiachana mali zinagawanywa pasu? au ni wajinga nyie ndio werevu sana???!
6. Wengine ni mashoga1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30's and under...
2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially..
3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.
4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships,
5. Most ni wana ishu na mama zao, hii imewapelekea kutokuwa na healthy relationships hivyo kupelekea kuchukia zaidi wanawake.
Mnaopinga ndoa simply kuweni na faken life!...acheni upuuzi wa kuinfluence wengine negatively.
Twende nae taratibu,ukute anatafuta mchumba humu JF
Hapana wanagonga wake zenuVijana wanataka waolewe! Hawataki kuoa! Hawataki kugonga wanataka Wagongwe! Dunia ngumu sana hii
I think walizozitunga waliangalia time, namaanisha wewe ukiachana na mkeo una uhakika wa kupata mke mwingine,,ila sio rahisi kwa mwanamke kupata mume mwingine ingawa wapo wanaopata waume wengine, hivyo muda unakuwa umepotezwa pia na kulea kuna consume time, hivyo time is the biggest factor,Suala la nani alitunga sheria kwa sasa halina umuhimu cha kuzingatia ni je izo sheria zinatenda haki? Wewe binafsi unaonaje. Je sheria ya ndoa inatenda haki kwa jinsia zote mbili? Tuchukulie mfano wa ndoa ya klyn na mzee mengi., je klyn ana haki ya kurithi mali wakati huo utajiri wote aliukuta?
Mpka sasa sijaona sehemu umejibu hoja za hawa vijana umewashambulia PERSONAL sasa umuhimu wa ndoa utauonyesha vipi kama unajibu kimuhemkoTufanye usawa hakuna, ila hizi sheria zilitungwa na wanawake pekee?? si ni jopo la wanaume pia ndio walitunga hizo sheria?? na mbona kuna wanaume wenzenu kibao tu wanaoa ingawa wanajua kabisaa wakiachana mali zinagawanywa pasu? au ni wajinga nyie ndio werevu sana???!
wewe unataka tutukanane tu..(which im ready kama ninavyofanya kwa huyo Robert....Twende nae taratibu,ukute anatafuta mchumba humu JF
Mbona unsmshambulua sana Anita MarikitaWenzake wanawaza kuwa Marais, wabunge, madokta, waalimu, n.k. yeye anawaza kuolewa ahudumiwe kama maiti useme hapo kuna mwanamke wa kuoa?
Wenzake wanaomba wapewe mitaji wafanye biashara ili wawasaidie waume zao kwani wao ni Wake, yeye anatanguliza ubinafsi.
Hivi kina mwanaume WA maana atachugua Mwanamke wa aina hiyo Zama hizi.
Ni mtoto gani atataka Zama hizi azaliwe na Mama mwenye mawazo ya kitapeli kama hayo.
wapi nimeshambulia personal,embu paonyeshe!Mpka sasa sijaona sehemu umejibu hoja za hawa vijana umewashambulia PERSONAL sasa umuhimu wa ndoa utauonyesha vipi kama unajibu kimuhemko
Haaa utajuaje kama akileta utapeli kama hata kujua anapretend ama not hujui???
eti umemruhusu kuwa mnafiki, yeye ni mnafiki wa kuzaliwa..haihitaji ruhusa yako labda apretend anahitaji ruhusa yako na wewe ulivyo kubwa jinga unaona umempa ruhusa.
Mimi navutiwa na mjadala wako,nikahisi labda unatafuta mwenza ila vijana hawataki ndoa,wewe unataka tutukanane tu..(which im ready kama ninavyofanya kwa huyo Robert....
Jitahidi basi kui-shughulisha akili yako coz inachosha kurudia kutype jambo ambalo ni commented,,,rudia kusoma comments zangu then urudi na hoja nyingine siyo hii.Ukweli ni upi????utaje,kama ni kuelezea mabaya nimekuuliza kwa nini humu JF relatively wanaozungumzia mabaya ni wengi kuliko wanaozungumzia mazuri,naona hujanibu?
Mbona mama yako alikuzaa mtoto unachukia wanawake kama yeye????Wenzake wanawaza kuwa Marais, wabunge, madokta, waalimu, n.k. yeye anawaza kuolewa ahudumiwe kama maiti useme hapo kuna mwanamke wa kuoa?
Wenzake wanaomba wapewe mitaji wafanye biashara ili wawasaidie waume zao kwani wao ni Wake, yeye anatanguliza ubinafsi.
Hivi kina mwanaume WA maana atachugua Mwanamke wa aina hiyo Zama hizi.
Ni mtoto gani atataka Zama hizi azaliwe na Mama mwenye mawazo ya kitapeli kama hayo.
Mbona unsmshambulua sana Anita Marikita
Umekosa la kuongea, hujanijibu unless sijaona comment yako, weka number ya comment yakoJitahidi basi kui-shughulisha akili yako coz inachosha kurudia kutype jambo ambalo ni commented,,,rudia kusoma comments zangu then urudi na hoja nyingine siyo hii.