engine rock
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,389
- 1,418
Me naanza kuchukua tahadhari ya zika...nyie subirini kigwa na ummy wawatangazie mwakani.
Kwani hiyo na Mara ya kwanza kwa taasisi hiyo kufanya utafiti na kutoa matokeo? Mbona walikua wanatoa kwenye vyombo vya habariUtaratibu unamwambia aitaarifu serikali kupitia vyombo vya habari?
Walikuwa wanatoa baada ya tu kuwasiliana na mamlaka husika na kuruhusiwa kufanya hivyo. Someni sheria mzielewe na sio tu kutetea watu wanapovunja sheria na taratibu.Kwani hiyo na Mara ya kwanza kwa taasisi hiyo kufanya utafiti na kutoa matokeo? Mbona walikua wanatoa kwenye vyombo vya habari
Nice maths, ila mkuu take care, sijui kama hili neno uchwara limeshaingizwa rasmi kwenye kamusi....[emoji123] [emoji123] [emoji123]. Wasije wakaku-maxence mello ndugu yetu.Wasomi uchwara + watawala uchwara = utafiti uchwara
Uzalendo ni kuongea uongo au kuongea ukweli ili kuweka mazingira mazuri ya kuweza kujilinda dhidi ya hatari inayoweza kutokana na ili jambo.Profesa mkumbo aeleww
Hakuna aliyepingana na utafiti
Tatizo ni njia iliyotumika kufikisha taarifa kwa umma
Unasababisha public panic pasipo sababu za msingi
Pia Dr Mwele ilipaswa kupima madhara yanayoweza kusababishwa na habari za utafiti wake huo kwa nchi yetu
Kwa yeyote sio kila kitu hutangazwa hadharani
Ugonjwa wa Zika sio kitu cha kutangazwa na mkurugenzi wa NIMR
huo ni taaruki ya dunia
Am sure imesababisha damage kubwa sana katika sekta ya utalii
Na hii inaweza tumiwa na maadui wa nchi yetu
Uzalendo ni muhimu
Remember also that a professorship is not just a post but a measurement smartness in anything especially in his official language of communication.Dude, English is a language not a measurement of one's IQ.
Umeambiwa dk kitila ni prof wa English?When you call yourself a Prof.yet you make unbearable grammatical errors.
Uwezo wa Prof.sio kabisa
Tafiti zao hazina athari zaidi kutoa matokeo ya mawazo ya watu au uelewa wa watuMbona Repoa na synovate hutangaza wenyewe matokeo ya tafiti bila kuhusisha mawaziri?kuuliza siyo ujinga
Hivi Dr.Mwele alikuwa anatangaza kuwa ZIKA ipo au alikuwa anatoa taarifa ya matokeo ya utafiti kuhusu ugonjwa wa ZIKA!!? Hivi matokeo ya utafiti mnataka akayatangaze Ummy Mwalimu!!?
Hayo mambo mengine ya kutangaza rasmi hao wanasiasa yangefuata baadae lkn kwanza taarifa ya kutalaamu lazima iwekwe public na watalaamu wenyewe na ndicho kilichofanyika...!!
Hivi kwa kutangaza ummy mwalimu kuwa ugonjwa wa ZIKA haupo ndo hautakuwepo kweli!? Yaani watalii ni muhimu kuliko sisi??
Profesa Mkumbo atofautishe Ishu ya Utawala na Mambo ya Lab!
Kwa mfano ikigundulika kuwa Watanzania asilimia 95 wana HIV, hata kama ni kweli, Kiutawala hutakiwi Researcher kujitangazia tu, hiyo ni sensitive issue inayohitaji Serikali kujiandaa kubeba athari za tangazo kama hilo!
Itifaki katka taarifa nyeti Ni lazima izingatiwe vinginevyo inaweza ikasababisha taharuki inayoepukika.Ebu SOMENI hili andiko Mwana JF mmoja kaandika na Prof.asome pia.
Zika na NIMR
Dk. Mwele Ntuli Malecela leo si Mkurugenzi tena wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR). Ikulu leo imemtangaza Profesa Yunus Mgaya kuwa mbadala wake.
Kwanini Mwele kaondolewa? Nimeulizwa hili swali na baadhi ya watu nami nikauliza hapa na pale ili kupata majibu. Na hili ndilo nililoambiwa.
Mosi, kwamba ugonjwa wa Zika upo Tanzania. Ugonjwa huu ulianzia Uganda na upo pia kwetu kwa muda mrefu. Ila upo katika hali iliyodhibitiwa, wataalamu wanaitwa Endemic. Si tatizo kubwa lakini upo.
Lakini Tanzania haina tatizo la ZIKA. Kwa jinsi tatizo la ugonjwa huo lilivyo kubwa, kabla halijatangazwa, kuna taratibu za kufuatwa ikiwamo kuhusisha Serikali na Shirika la Afya Duniani (WHO).
Imefanyika hivi kwa sababu madhara ya kutangaza ugonjwa huo kwa taifa ni makubwa kiuchumi, kisiasa na kijamii.
Tatizo ni kwamba tangazo la Mwele halikufuata hizo taratibu. Na zaidi, halikuzingatia athari ambazo zingejitokeza kwa yeye kutoa taarifa kama zile.
Kwenye Kiswahili, tofauti ya maneno Endemic na Epidemic ( ugonjwa uliodhibitiwa na uliolipuka) ni ndogo. Ukisema Zika ipo, magazeti yatasema ZIKA imeingia.
Sasa, labda, Rais mwingine, kwenye Serikali nyingine, angeweza ˊkupotezea` tu kauli ile ya Mwele. Lakini binti huyu wa mzee John Malecela hakuwa amesoma vema alama za nyakati.
Hivyo, kwa maana ya kosa, Mwele alikosea. Ishu ya ZIKA haikuwa ya kutangazwa na taasisi yake pekee bila kuhusisha serikali na wadau wengine.
Hivyo, hapa, tatizo si serikali kukataa taarifa ya kitaalamu. Ni kwamba mhusika amekiuka taratibu ambazo zimewekwa. Na huo ugonjwa haujaja sasa hivi. Upo siku nyingi ila umedhibitiwa.
Shida nchi yetu hii kila kitu kinakuwa related na Siasa. Professionals can't do their work.
Kwani hizo asasi ziko chini ya Serikali?Mbona Repoa na synovate hutangaza wenyewe matokeo ya tafiti bila kuhusisha mawaziri?kuuliza siyo ujinga
Kwani WHO ilishirikishwa wakati au kabla ya hayo mafuta hayajaanza kutumiwa?TFDA waliwah kutangaza mafuta ya mbegu za ubuyu yana madhara bila hata kuishirikisha WHO wala wizara ya afya
Kwa hiyo unataka kusema research findings za aina hiyo lazima ziwe disseminated na politicians?Profesa Mkumbo atofautishe Ishu ya Utawala na Mambo ya Lab!
Kwa mfano ikigundulika kuwa Watanzania asilimia 95 wana HIV, hata kama ni kweli, Kiutawala hutakiwi Researcher kujitangazia tu, hiyo ni sensitive issue inayohitaji Serikali kujiandaa kubeba athari za tangazo kama hilo!
Haikuwah hata kutoa ufafanuz baada ya hilo tamko la TFDAKwani WHO ilishirikishwa wakati au kabla ya hayo mafuta hayajaanza kutumiwa?
Nadhani umenakiri kitu usichokijua.umenakiripost: 18911862 said:View attachment 447321hii ndio sharia iliyotumika na Serikali kuchukua uamuzi huo. Alitakiwa kuwasiliana na Serikali kupitia wizara ya Afya ili Serikali nayo ione kama upo umuhimu na pia ijipange Kwa ajili ya kukabiliana na tatizo. Pia kuangalia na ukubwa wa tatizo lenyewe.