Professor Kitila Mkumbo slams Ministers Ummy and Kigwangala

Professor Kitila Mkumbo slams Ministers Ummy and Kigwangala

Tofautisha mbegu za ubuyu na ugonjwa wa zika.

Uwezo wa Prof.ni wa kitilia shaka
Madhara ya mbegu za ubuyu ni makubwa kwasababu yanaua nguvu za kiume hivyo hata mtoto mwenye zika uweza mpata.
ila mbegu za ubuyu na zika hazina tofauti kwasababu zote zinalingana kwa ukubwa
 
Profesa Mkumbo atofautishe Ishu ya Utawala na Mambo ya Lab!

Kwa mfano ikigundulika kuwa Watanzania asilimia 95 wana HIV, hata kama ni kweli, Kiutawala hutakiwi Researcher kujitangazia tu, hiyo ni sensitive issue inayohitaji Serikali kujiandaa kubeba athari za tangazo kama hilo!

Ase kama ile ya Njaa Kagera ? Hahaaaaaaaaaaa twende tutafika. Mpaka mjiandae watakuwa wameumia wangapi?
 
Prof.anaongea ukweli lakini kuna ukweli nadhani ambao ambao Prof.haujui vyema. Hasa katika Mamlaka ya Mkurugenzi wa Utafiti zilizopo chini ya serikali. Nadhani kuna utaratibu wake wa kutanganza ugonjwa wowote ukigundulika hasa kwa kuwasiliana na mamlaka husika ndipo waone namna gani ya kuuambia umma.

Unauona ukweli kwenye kile alichoongea Prof lakini una mashaka, kwa sababu ..."unadhani.." ha ha ha..
 
Kinacholeta shida ni Maslahi ya Taifa Vs Maslahi ya Chama chetu. Tumefundishwa kwamba maslahi ya Taifa yanapogongana na maslahi ya chama chetu, lazima maslahi ya Taifa yatupiliwe mbali...
 
Back
Top Bottom