Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 945
- 1,817
Waswahili WAWILI wizaraniHivi Dr.Mwele alikuwa anatangaza kuwa ZIKA ipo au alikuwa anatoa taarifa ya matokeo ya utafiti kuhusu ugonjwa wa ZIKA!!? Hivi matokeo ya utafiti mnataka akayatangaze Ummy Mwalimu!!?
Hayo mambo mengine ya kutangaza rasmi hao wanasiasa yangefuata baadae lkn kwanza taarifa ya kutalaamu lazima iwekwe public na watalaamu wenyewe na ndicho kilichofanyika...!!
Hivi kwa kutangaza ummy mwalimu kuwa ugonjwa wa ZIKA haupo ndo hautakuwepo kweli!? Yaani watalii ni muhimu kuliko sisi??
Nadhani upeo wako ni mdogo sana katika suala hili.Prof.anaongea ukweli lakini kuna ukweli nadhani ambao ambao Prof.haujui vyema. Hasa katika Mamlaka ya Mkurugenzi wa Utafiti zilizopo chini ya serikali. Nadhani kuna utaratibu wake wa kutanganza ugonjwa wowote ukigundulika hasa kwa kuwasiliana na mamlaka husika ndipo waone namna gani ya kuuambia umma.
Profesa mkumbo aeleww
Hakuna aliyepingana na utafiti
Tatizo ni njia iliyotumika kufikisha taarifa kwa umma
Unasababisha public panic pasipo sababu za msingi
Pia Dr Mwele ilipaswa kupima madhara yanayoweza kusababishwa na habari za utafiti wake huo kwa nchi yetu
Kwa yeyote sio kila kitu hutangazwa hadharani
Ugonjwa wa Zika sio kitu cha kutangazwa na mkurugenzi wa NIMR
huo ni taaruki ya dunia
Am sure imesababisha damage kubwa sana katika sekta ya utalii
Na hii inaweza tumiwa na maadui wa nchi yetu
Uzalendo ni muhimu
Tofautisha mbegu za ubuyu na ugonjwa wa zika.TFDA waliwah kutangaza mafuta ya mbegu za ubuyu yana madhara bila hata kuishirikisha WHO wala wizara ya afya