MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,496
- 8,734
Aisee nimeshangaa sana huyu ticha wangu, Pia nashindwa kujua pia kwa nini kuna mchanyato sana? Utakutana na katibu tawala Darasa la saba, katibu tawala Form 4, katibu tawala Form six leaver, katibu tawala mwenye certficate ya kuunga uunga, katibu tawala mwenye Diploma, katibu tawala mwenye Degree, mwenye Masters, na mwenye Phd kama Prof Kamzora.
Prof Kamzora wakati naondoka Mzumbe alikuwa nje anachukua Phd yake.
Sasa nashangaa sana kwamba kwa sasa ni katibu tawala Kagera yaani Elimu yake kwisha kazi make kuwa katibu tawala hakuna tena ku upply elimu alio soma bali ni Bosi kasema nini, pia uwe mnafiki, mfitini na mpika majungu.
Hii ni demotion kubwa sana na mbali na Demotion pia muda alio tumia kusoma umepotea bure na Je hizi teuzi za mkuu lazima ukubali? Hakuna kusema Mheshimiwa asante sana kwa sasa ngoja niibue watalaamu?
Hata pesa nina uhakika kwa levo yake angekuwa anavuta pesa ya kueleweka na bado anakuwa kazi nyingi sana kama Research na kadhalika. Sasa kuwa katibu tawala hatakiwi kubanduka Offisini.
Maajabu sana