Profesa Kamuzora alikuwaje hadi akawa Katibu Tawala Kagera?

Idara ya TISS ina link sana na RAS aisee kacheo ka u RAS sio haba kana chenji zenye ujazo kiaina japo naona ni kama Demotion fulani ivi akifanya kazi nzuri kwa utii kwa wakubwa atarudi kwenye nafasi zake.

Nimewahi kumsikia BIMA au PSSSF au ni nshomire mwingine sie huyu kamuzora. Anachukuzwa na waalim kustaafu wakifikisha miaka 55 aisee bongo nyoso
 
Kiutawala RAS ni sawa na katibu mkuu maana hata mishahara iko ngazi moja ama daraja moja.

Katibu mkuu anasimamia wizara yake nchi nzima lakini RAS anasimamia mkoa wake, sehemu kubwa ya RAS ni watumishi walioko serikali kuu na serikali za mitaa kama waalimu, watu wa idara ya afya na wengine.

Sema ukiwa RAS inabidi uwe mtu wa majungu sana si unajua waalimu walivyo na majungu, sasa hao ndio unashughulika nao kila siku.
Aisee
 
Mwenyewe nimeshangaa sana. Pamoja Na kwamba mshahara unaweza usishushwe ila dah ni adhabu. Kwa ngazi ya DVC finance Mzumbe Na ukatibu mkuu- permanent secretary wizara mbalimbali hapo kwenye URAS kashushwa aisee. Pole sana DVC wangu Prof. Kamuzora
Afadhali wewe umeona
 
hao makatibu tawala wengi wao wako TISS, hivyo wanachukua mishahara miwili.
kimaslahi wako juu, labda kitaaluma ndo wanazingua
Juu kivipi? Anamzidi mkuu wa mkoa? Ok yuko juu ila sio kwa levo ya Prof,
 
Sio kweli katibu mkuu anamadaraka na mshahara mkubwa kulipo katibu tawala wa mkoa
Katibu tawala yuko chini ya Mkuu wa Mkoa tukumbuke, hawezi mzidi Mkuu wa Mkoa Mshahara, tuyaache hayo, kwa levo ya Professor hii ni Demotion
 
Prof kamuzora alikua Katibu Mkuu ofisi ya Makumu Wa Rais.ghafla akapelekwa kuwa RAS haijulikani ni shida gani ilitokea kule.

Lakini ni masuala ya serikali ndivyo yalivyo .

wale mnaomlaumu muelewe cheo cha umma sio cha kudumu.kila mtu ambaye ana cheo cha umma siku moja atakiacha.Na pia serikalini kuna vita kuna majungu fitina na mengine mengi.Hivyo wengine hupigwa demotion kwa majungu na uonevu tu wengine kweli wana makosa.
 
Tatizo wabongo wanahoji maslahi ya wenzao kuliko kuhoji maslahi yao.

We mtoa mada huelewi unachokizungumza zaidi ya majungu ya Tabora tu.

Huo muda wa kufuatilia mambo ya Prof. Kamuzora ni vyema ungeutumia kufanya mambo yako.

Profesa siyo mjinga kama wewe.
By the way huwezi kumlinganisha na hao maprofesa NJAA unaowataja kwa sababu hujui kilicho ofisini kwake in relation to anachokipata
 
Mwenyewe nimeshangaa sana. Pamoja Na kwamba mshahara unaweza usishushwe ila dah ni adhabu. Kwa ngazi ya DVC finance Mzumbe Na ukatibu mkuu- permanent secretary wizara mbalimbali hapo kwenye URAS kashushwa aisee. Pole sana DVC wangu Prof. Kamuzora
Mzumbe chuo na mkoa wote wa Kagera, kipi kikubwa! Au RAS mkoa wa Morogoro wote (ambapo kuna Mzumbe, Sokoine, Islamic, etc.) na Mzumbe DVC finance tu nini kubwa zaidi?
Compare and contrast
 
We mleta mada usichojua ni kua yule mzee wa watu alimaliza ile idadi ya miaka ya cheo chake cha DVC finance, baada ya pale alikua anatamani kua makamu mkuu wa chuo, bahati mbaya upepo haukua kwake ndio acting akawa Mzee Itika, Thereafter Mzee Kusiluka akaletwa.

So Huyu mzee akawa hana cheo, bahati nzuri ana connection zake ndio akalamba uteuzi wa Katibu mkuu mpaka baadae alipobadilishwa na kuangukia RAS, ila yote kwa yote yeye ameridhika na yuko comfortable, suala la maslahi ni complicated maana kwenye siasa kuna figisu na fursa bt yeye ndio anajua ukweli.
 
Aisee nimeshangaa sana huyu ticha wangu, Pia nashindwa kujua pia kwa nini kuna mchanyato sana? Utakutana na katibu tawala Darasa la saba, katibu tawala Form 4, katibu tawala Form six leaver, katibu tawala mwenye certficate ya kuunga uunga, katibu tawala mwenye Diploma, katibu tawala mwenye Degree, mwenye Masters, na mwenye Phd kama Prof Kamzora....
Elimu ya Tanzaniaz Magu ameifinyanga kama udongo.
 
Back
Top Bottom