Profesa Kamuzora alikuwaje hadi akawa Katibu Tawala Kagera?

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,461
8,671
Aisee nimeshangaa sana huyu ticha wangu, Pia nashindwa kujua pia kwa nini kuna mchanyato sana? Utakutana na katibu tawala Darasa la saba, katibu tawala Form 4, katibu tawala Form six leaver, katibu tawala mwenye certficate ya kuunga uunga, katibu tawala mwenye Diploma, katibu tawala mwenye Degree, mwenye Masters, na mwenye Phd kama Prof Kamzora.

Prof Kamzora wakati naondoka Mzumbe alikuwa nje anachukua Phd yake.

Sasa nashangaa sana kwamba kwa sasa ni katibu tawala Kagera yaani Elimu yake kwisha kazi make kuwa katibu tawala hakuna tena ku upply elimu alio soma bali ni Bosi kasema nini, pia uwe mnafiki, mfitini na mpika majungu.

Hii ni demotion kubwa sana na mbali na Demotion pia muda alio tumia kusoma umepotea bure na Je hizi teuzi za mkuu lazima ukubali? Hakuna kusema Mheshimiwa asante sana kwa sasa ngoja niibue watalaamu?

Hata pesa nina uhakika kwa levo yake angekuwa anavuta pesa ya kueleweka na bado anakuwa kazi nyingi sana kama Research na kadhalika. Sasa kuwa katibu tawala hatakiwi kubanduka Offisini.

Maajabu sana
 
Aisee nimeshangaa sana huyu ticha wangu, Pia nashindwa kujua pia kwa nini kuna mchanyato sana? Utakutana na katibu tawala Darasa la saba, katibu tawala Form 4, katibu tawala Form six river, katibu tawala mwenye certficate ya kuunga uunga, katibu tawala mwenye Diploma, katibu tawala mwenye Degree, mwenye Masters, na mwenye Phd kama Prof Kamzora....
Poor perception
 
Kiutawala RAS ni sawa na katibu mkuu maana hata mishahara iko ngazi moja ama daraja moja.

Katibu mkuu anasimamia wizara yake nchi nzima lakini RAS anasimamia mkoa wake, sehemu kubwa ya RAS ni watumishi walioko serikali kuu na serikali za mitaa kama waalimu, watu wa idara ya afya na wengine.

Sema ukiwa RAS inabidi uwe mtu wa majungu sana si unajua waalimu walivyo na majungu, sasa hao ndio unashughulika nao kila siku.
 
Ulivyoandika tu "upply" ,moja kwa moja sikiendelea kusoma uzi nilijua tu hata hiyo mzumbe hujui ipoje
Mwisho lakini sio kwa umuhimu, HAKUNA RAS darasa la 7
 
Ulivyoandika tu "upply" ,moja kwa moja sikiendelea kusoma uzi nilijua tu hata hiyo mzumbe hujui ipoje
Mwisho lakini sio kwa umuhimu, HAKUNA RAS darasa la 7
 
Professor kamuzora. Ni mhaya mzungu sana.. nakumbuka enzi nasoma mzumbe alikuwa DVC finance.. tulikuwa tunamfata ofisini kwake tunamuazima projector tuangalie uefa kwenye lecture halls usiku.. na alikuwa anatupatia.. akiandika kimemo tu.. projector mnapewa na hall mnapewa
 
Aisee nimeshangaa sana huyu ticha wangu, Pia nashindwa kujua pia kwa nini kuna mchanyato sana? Utakutana na katibu tawala Darasa la saba, katibu tawala Form 4, katibu tawala Form six leaver, katibu tawala mwenye certficate ya kuunga uunga, katibu tawala mwenye Diploma, katibu tawala mwenye Degree, mwenye Masters, na mwenye Phd kama Prof Kamzora...
Yuko sawa na Kafulila !
 
Mwenyewe nimeshangaa sana. Pamoja Na kwamba mshahara unaweza usishushwe ila dah ni adhabu. Kwa ngazi ya DVC finance Mzumbe Na ukatibu mkuu- permanent secretary wizara mbalimbali hapo kwenye URAS kashushwa aisee. Pole sana DVC wangu Prof. Kamuzora
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom