Ahahahahaha nimecheka sana ulipo nasibisha walimu na Majungu!Kiutawala RAS ni sawa na katibu mkuu maana hata mishahara iko ngazi moja ama daraja moja.
Katibu mkuu anasimamia wizara yake nchi nzima lakini RAS anasimamia mkoa wake, sehemu kubwa ya RAS ni watumishi walioko serikali kuu na serikali za mitaa kama waalimu, watu wa idara ya afya na wengine.
Sema ukiwa RAS inabidi uwe mtu wa majungu sana si unajua waalimu walivyo na majungu, sasa hao ndio unashughulika nao kila siku.