Profesa Kamuzora alikuwaje hadi akawa Katibu Tawala Kagera?

Aisee nimeshangaa sana huyu ticha wangu, Pia nashindwa kujua pia kwa nini kuna mchanyato sana? Utakutana na katibu tawala Darasa la saba, katibu tawala Form 4, katibu tawala Form six leaver, katibu tawala mwenye certficate ya kuunga uunga, katibu tawala mwenye Diploma, katibu tawala mwenye Degree, mwenye Masters, na mwenye Phd kama Prof Kamzora...
Pole sana, usishangae sana, ukiona hivyo jua kuna mfumo mwingine ndani yake vuta subira tu utajionea,

Huwezi jua hizo level zote na experiece yawezekana palikua na nyenzo sasa hiyo ndio gharama yake

Changamoto inatukatisha tamaa jamii kuwa Elimu yoote haina POWER juu ya PESA au maisha.

Niko tayari kukosolewa kwa faida ya wengi...
 
Professor kamuzora. Ni mhaya mzungu sana.. nakumbuka enzi nasoma mzumbe alikuwa DVC finance.. tulikuwa tunamfata ofisini kwake tunamuazima projector tuangalie uefa kwenye lecture halls usiku.. na alikuwa anatupatia.. akiandika kimemo tu.. projector mnapewa na hall mnapewa
Ndiyo maana
 
Prof kamuzora alikua Katibu Mkuu ofisi ya Makumu Wa Rais.ghafla akapelekwa kuwa RAS haijulikani ni shida gani ilitokea kule.

Lakini ni masuala ya serikali ndivyo yalivyo .

wale mnaomlaumu muelewe cheo cha umma sio cha kudumu.kila mtu ambaye ana cheo cha umma siku moja atakiacha.Na pia serikalini kuna vita kuna majungu fitina na mengine mengi.Hivyo wengine hupigwa demotion kwa majungu na uonevu tu wengine kweli wana makosa.
Kwani uwekezaji wa Boss kilele haupo mikoa ya Kagera na Geita ?
Je Prof siyo chawa na mshirika wa karibu wa boss kilele?
 
Sasa nashangaa sana kwamba kwa sasa ni katibu tawala Kagera yaani Elimu yake kwisha kazi make kuwa katibu tawala hakuna tena ku upply elimu alio soma bali ni Bosi kasema nini, pia uwe mnafiki, mfitini na mpika majungu...
Usishangae siku moja ukasikia ameangiwa kuwa katibu kata
 
Aisee nimeshangaa sana huyu ticha wangu, Pia nashindwa kujua pia kwa nini kuna mchanyato sana? Utakutana na katibu tawala Darasa la saba, katibu tawala Form 4, katibu tawala Form six leaver, katibu tawala mwenye certficate ya kuunga uunga, katibu tawala mwenye Diploma, katibu tawala mwenye Degree, mwenye Masters, na mwenye Phd kama Prof Kamzora...
Huu mfumo mbovu unasababisha watu wasitumie akili hata kidogo mkuu, hata ww ukiteuliwa na dikteta utakuwa kama hawa jamaa
 
Aisee nimeshangaa sana huyu ticha wangu, Pia nashindwa kujua pia kwa nini kuna mchanyato sana? Utakutana na katibu tawala Darasa la saba, katibu tawala Form 4, katibu tawala Form six leaver, katibu tawala mwenye certficate ya kuunga uunga, katibu tawala mwenye Diploma, katibu tawala mwenye Degree, mwenye Masters, na mwenye Phd kama Prof Kamzora.

Prof Kamzora wakati naondoka Mzumbe alikuwa nje anachukua Phd yake.

Sasa nashangaa sana kwamba kwa sasa ni katibu tawala Kagera yaani Elimu yake kwisha kazi make kuwa katibu tawala hakuna tena ku upply elimu alio soma bali ni Bosi kasema nini, pia uwe mnafiki, mfitini na mpika majungu.

Hii ni demotion kubwa sana na mbali na Demotion pia muda alio tumia kusoma umepotea bure na Je hizi teuzi za mkuu lazima ukubali? Hakuna kusema Mheshimiwa asante sana kwa sasa ngoja niibue watalaamu?

Hata pesa nina uhakika kwa levo yake angekuwa anavuta pesa ya kueleweka na bado anakuwa kazi nyingi sana kama Research na kadhalika. Sasa kuwa katibu tawala hatakiwi kubanduka Offisini.

Maajabu sana
Daaah, Prof kapata bahati mbaya sana kuwa na mwanafunzi mjinga kama wewe.
 
We mleta mada usichojua ni kua yule mzee wa watu alimaliza ile idadi ya miaka ya cheo chake cha DVC finance, baada ya pale alikua anatamani kua makamu mkuu wa chuo, bahati mbaya upepo haukua kwake ndio acting akawa Mzee Itika, Thereafter Mzee Kusiluka akaletwa.

So Huyu mzee akawa hana cheo, bahati nzuri ana connection zake ndio akalamba uteuzi wa Katibu mkuu mpaka baadae alipobadilishwa na kuangukia RAS, ila yote kwa yote yeye ameridhika na yuko comfortable, suala la maslahi ni complicated maana kwenye siasa kuna figisu na fursa bt yeye ndio anajua ukweli.
Bado kuwa tu lecture ni pesa na kumbuka wana kazi nyingi sana tafiti za kufa mtu
 
Hawa maprofesa wa Tanzania wengi huwa na akili za jalalani,hebu fikiria yule kabudi anavyojipendekeza kwa Jiwe mpaka anakela
 
Back
Top Bottom