Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

Sijaona upumbavu kama huu, huyo aliyeuza nyumba za Serikali kuu na kuwaonga vimada wake mbona hujamsema , Asad kawashika pabaya naona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Profesa assad akiwa mjumbe wa board ya nssf miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya board ya uwekezaji ya nssf (MIC) Alijinufaisha ktk kununua nyumba za nssf huko tanga bila kujali conflict of interest, nyumba hizo zilizouzwa pia kuna mkurugenzi mmoja wa nssf bwana kidula ambaye nae alikuwa mwenyekiti wa tender board ya management ya nssf nae alijitwalia nyumba kadhaa za tanga na dodoma.Katika kipindi cha Dau nssf mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue, mfano nyumba za kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao. Kwa mfano kuna mtoto wa profesa mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko nssf alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa.Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakaz wa nssf lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
huyo ndo assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau nssf ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Sawa umejitaidi kutoa povu.
Mwambie jiwe arudishe 1.5T zetu.
 
Na hilo liwe ndo swali la kwanza alinunuaje nyumba ambazo alikuwa na confict of interest nazo na avuliwe u CAG,

ila ambane ndungai zilipo 1.5 kodi zetu.
Weka huo utaratibu hapa uliamuliwa lini na nani na uweke idadi ya nyumba alizonunua Assad na ushahidi wa kujitosheleza kuhusu nyumba husika unazozizungumzia. Vinginevyo ni UZUSHI.

Mkuu utaelewa tu ushahidi utapowekwa.
 
Bak ripoti aliyokana alikuwa anamtetea dau, kabla hajawa CAG ndo alikuwa board member nssf, dili zote chafu nssf alikuwepo, na alipigiwa chapuo na dau kuwa CAG enzi za jk ili afiche madhambi ya dau na jk ktk miradi na viwanja hewa,saccos hewa nk...
Assad syo msafi hata kidogo, hata hyo nyumba alonunua iko kwenye audit querry na itawekwa wazi soon.
Swala ni yeye kununua hizo nyumba, au kununua kwa bei rahisi?
Tuwekee bei alionunua yeye v/s bei waliyonunua wengine.
 
Profesa assad akiwa mjumbe wa board ya nssf miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya board ya uwekezaji ya nssf (MIC) Alijinufaisha ktk kununua nyumba za nssf huko tanga bila kujali conflict of interest, nyumba hizo zilizouzwa pia kuna mkurugenzi mmoja wa nssf bwana kidula ambaye nae alikuwa mwenyekiti wa tender board ya management ya nssf nae alijitwalia nyumba kadhaa za tanga na dodoma.Katika kipindi cha Dau nssf mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue, mfano nyumba za kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao. Kwa mfano kuna mtoto wa profesa mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko nssf alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa.Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakaz wa nssf lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
huyo ndo assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau nssf ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Ushatokaaaa CHOOOONI MAANA NAONA UHARO MTUPUU WAPI MAJI YA KUFLASH NAOMBA
 
MWENYEWE UONI UMEJAZAAAAAA UHAROOOO MWANZO MWISHOOOO MMH NISIJEKUULIZA ELIMU YAKO YA MWISHOOOO NIKATUBU MBELE ZA ALLAH
 
Kama ni kweli suala ni hivi .... alijiuzia au aliuziwa? Ukisha pata jibu, nambie maoni yako kuhusu mchakato wa uuzwaji wa nyumba za NHC.
 
Mkuu nyumba syo za umma bali nssf nasheria hazimruhusu kama board member ajihusishe kwa namna yoyote kununua mali ambazo yeye ni member,pia hiyo haiondoi ukweli wa bunge kuwa dhaifu, ila tu na yeye ni dhaifu alishindwa kumdhibiti dau
Mlikuwa wapi siku zote; mpaka mnangojea Ndugai aseme? Anyway wakuu walishalishughulikia wakati wa mchakato wa vetting na kama hili hawakuliona basi mmewasaidia kuliona. Watalifanyia kazi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Profesa assad akiwa mjumbe wa board ya nssf miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya board ya uwekezaji ya nssf (MIC) Alijinufaisha ktk kununua nyumba za nssf huko tanga bila kujali conflict of interest, nyumba hizo zilizouzwa pia kuna mkurugenzi mmoja wa nssf bwana kidula ambaye nae alikuwa mwenyekiti wa tender board ya management ya nssf nae alijitwalia nyumba kadhaa za tanga na dodoma.Katika kipindi cha Dau nssf mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue, mfano nyumba za kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao. Kwa mfano kuna mtoto wa profesa mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko nssf alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa.Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakaz wa nssf lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
huyo ndo assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau nssf ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Habari hizi umezijua toka lini?
 
Back
Top Bottom