Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

Profesa assad akiwa mjumbe wa board ya nssf miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya board ya uwekezaji ya nssf (MIC) Alijinufaisha ktk kununua nyumba za nssf huko tanga bila kujali conflict of interest, nyumba hizo zilizouzwa pia kuna mkurugenzi mmoja wa nssf bwana kidula ambaye nae alikuwa mwenyekiti wa tender board ya management ya nssf nae alijitwalia nyumba kadhaa za tanga na dodoma.Katika kipindi cha Dau nssf mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue, mfano nyumba za kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao. Kwa mfano kuna mtoto wa profesa mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko nssf alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa.Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakaz wa nssf lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
huyo ndo assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau nssf ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Hata ukiandika Mama yako ulimbaka bado nitaamini pale nikikuona juu ya kifua chake ndio nitaamini

Watu Kama Wewe Mleta uzi huna tofauti na Taka wote mkitumika mnatupwa kwenye dustbin
 
Profesa assad akiwa mjumbe wa board ya nssf miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya board ya uwekezaji ya nssf (MIC) Alijinufaisha ktk kununua nyumba za nssf huko tanga bila kujali conflict of interest, nyumba hizo zilizouzwa pia kuna mkurugenzi mmoja wa nssf bwana kidula ambaye nae alikuwa mwenyekiti wa tender board ya management ya nssf nae alijitwalia nyumba kadhaa za tanga na dodoma.Katika kipindi cha Dau nssf mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue, mfano nyumba za kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao. Kwa mfano kuna mtoto wa profesa mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko nssf alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa.Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakaz wa nssf lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
huyo ndo assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau nssf ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Dau yuko jela au ubalozini?? Ccm bana!!!
 
Mkuu pumba hapo ni ipi, labda utusaidie alikokosea maana ni kosa mtu aliye na conflict of interest ku own asset ktk organization anayosimamia tena akiwa mteule wa serikali ku oversee interest za serikali mahali hapo.
Kwa hiyo magufuli hakununua nyumba za serikali na kuhonga zingine akiwa waziri wa ujenzi na msimamizi wa uuzaji?? MaCcm bana???
 
Profesa assad akiwa mjumbe wa board ya nssf miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya board ya uwekezaji ya nssf (MIC) Alijinufaisha ktk kununua nyumba za nssf huko tanga bila kujali conflict of interest, nyumba hizo zilizouzwa pia kuna mkurugenzi mmoja wa nssf bwana kidula ambaye nae alikuwa mwenyekiti wa tender board ya management ya nssf nae alijitwalia nyumba kadhaa za tanga na dodoma.Katika kipindi cha Dau nssf mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue, mfano nyumba za kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao. Kwa mfano kuna mtoto wa profesa mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko nssf alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa.Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakaz wa nssf lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
huyo ndo assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau nssf ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Ok, lakini bado bunge ni dhaifu sana!
 
Lakini bunge dhaifu bado...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni Ndugai. Vipi uyaseme leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliyoyaandika yanafanana na ID yako ya UKANDA. Acha kutumiwa ulikuwa wapi kuandika hayo majungu yako! Kwanza jitambulishe we ni nani na unaandika kwa maslahi ya nani. Acha kukaririshwa jina la DAU. Hebu tupe CV yako kwanza, ya Assad tunayo ili tulinganishe na hayo uliyoyaandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha... hahahha... nosense...

Hivi unaweza kulala na Malaya kitanda anaacholalia baba na mama yako ukaona sawa kabisa ukajitetea kwamba ulikua umepumzika na ukazidi kujitetea kwamba mbona baba na mama "wanafanya" kwenye kitanda hicho hicho...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Profesa assad akiwa mjumbe wa board ya nssf miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya board ya uwekezaji ya nssf (MIC) Alijinufaisha ktk kununua nyumba za nssf huko tanga bila kujali conflict of interest, nyumba hizo zilizouzwa pia kuna mkurugenzi mmoja wa nssf bwana kidula ambaye nae alikuwa mwenyekiti wa tender board ya management ya nssf nae alijitwalia nyumba kadhaa za tanga na dodoma.Katika kipindi cha Dau nssf mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue, mfano nyumba za kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao. Kwa mfano kuna mtoto wa profesa mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko nssf alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa.Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakaz wa nssf lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
huyo ndo assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau nssf ilikuwa na madudu ya kufa mtu.

Cha ajabu ni nini hapo? Mbona magufuli alijigawia nyumba kadhaa za serikali alipokuwa waziri?
 
Hizooo mbwembwe zote zimetoka Kongwa cyo??Tunamwamini,Tunamhitaji,Team CAG
 
Kama hii nayo ni kweli basi bunge ni dhaifu kuliko alivyosema Professor Assad. Bunge ndiyo lenye wajibu wa kusimamia mashirika ya umma.
 
Profesa assad akiwa mjumbe wa board ya nssf miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya board ya uwekezaji ya nssf (MIC) Alijinufaisha ktk kununua nyumba za nssf huko tanga bila kujali conflict of interest, nyumba hizo zilizouzwa pia kuna mkurugenzi mmoja wa nssf bwana kidula ambaye nae alikuwa mwenyekiti wa tender board ya management ya nssf nae alijitwalia nyumba kadhaa za tanga na dodoma.Katika kipindi cha Dau nssf mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue, mfano nyumba za kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao. Kwa mfano kuna mtoto wa profesa mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko nssf alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa.Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakaz wa nssf lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
huyo ndo assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau nssf ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Acha ukabila ww. Tupo dunia ingine. Ww subiri sindano ikuingie vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo kam mtu amewahi kufanya makosa makubwa zamani hapaswi kufanya mambo kwa weledi leo kwa kuwa kivuli cha makosa ya zamani kinamfuata? Hivi maana ya kujitathmini na kujirekebisha ni kuendeleza makosa? This is stupidity!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Profesa assad akiwa mjumbe wa board ya nssf miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya board ya uwekezaji ya nssf (MIC) Alijinufaisha ktk kununua nyumba za nssf huko tanga bila kujali conflict of interest, nyumba hizo zilizouzwa pia kuna mkurugenzi mmoja wa nssf bwana kidula ambaye nae alikuwa mwenyekiti wa tender board ya management ya nssf nae alijitwalia nyumba kadhaa za tanga na dodoma.Katika kipindi cha Dau nssf mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue, mfano nyumba za kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao. Kwa mfano kuna mtoto wa profesa mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko nssf alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa.Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakaz wa nssf lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
huyo ndo assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau nssf ilikuwa na madudu ya kufa mtu.

UKIMALIZA KWA ASSAD UTULETEE YA MAGUFURI ALIYEUZA NYUMBA ZA SERKALI.
USISAHAU KUTUAMBIA wani point faivu ilipo
 
Back
Top Bottom