Profesa Asiye na Makuu

Profesa Asiye na Makuu

...siku zote wanasiasa hujiinua kwa kujishusha,hujifanya wao ni wakawaida sana kumbe moyoni mmmh....

si kila mvaa koti jeupe daktari wengine wauza nyama
 
si kila mvaa koti jeupe daktari wengine wauza nyama
 
hahahhahahahahahahahahahha mbona profesa wa wali ooops wa Lipuuuuumbaaa anakula wali ka anameza dawa chungu??? halafu huyu shekhe wa mbele kushoto alievaa kama brown mpauko mbona anaficha maji ya kunya kwenye makalio????

ha ha ha ha anaficha ili aseme hajapata maji apewe mengine....
 
ha ha ha ha anaficha ili aseme hajapata maji apewe mengine....

:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Daah!!Profesa kaniacha hoi yaani kafuta chote halafu katulia anawazaaa nadhani anataka kuongezewa.
 
Na maharage juu! Bora muandaaji angewaonea huruma walaji wake kwa kuepusha kimojawapo, hasa mayai....hayo yangesubiri chai siku inayofuata.

Itakua Mbeya hii, ni wakarimu sana kiasi kwamba mambo yote mnamalizana kabisa, hakuna kusubiri kesho bhana
 
Daah!!Profesa kaniacha hoi yaani kafuta chote halafu katulia anawazaaa nadhani anataka kuongezewa.
yaaah amenifurahisha staili yake ya kula hata dggo Mtatiro hamfikii, si unaona ngumi ilivyokunjwa?
 
Usanii wa kisiasa nao....kuna mtu alikuwa anakalia mkeka anapigwa picha anatudanganya ni motto wa mfuga ng'ombe....siku hizi tutapiga tuuu
 
Usanii wa kisiasa nao....kuna mtu alikuwa anakalia mkeka anapigwa picha anatudanganya ni motto wa mfuga ng'ombe....siku hizi tutapiga tuuu

dah, umenikumbusha Mkuu, tena alilia Albino wanaopigwa na kukatwa, leo anasema hata kichwa kata tu
 
Back
Top Bottom