VUVUZELA
JF-Expert Member
- Jun 19, 2010
- 3,103
- 798
du simchezo, naona jamaa kama anaagiza waongezewe
Lipumba kichwa na namkubali
du simchezo, naona jamaa kama anaagiza waongezewe
Hizo rangii sizipendi, zikishakuwa na hizo rangi bora niendelee kuvaa zile zilizotoboka.
Mie na kundi langu ndio waanzilishi wa kombolela.kombolela au mama tujifiche umecheza? ..........
Nimezipenda sana mkuu tatizo rangi.
AMA KWELI UMETOKEA Babaya wewe mwana