nilimchukia sana baada ya kumsikia alichosema pale Msikiti wa Idrissa huyu jamaa ni kwasabb ni Tz lakin nch za wenzetu angekuwa ameshakamatwa hafai hata kuwa mwenyekit wa kijijiMpenda watu na hana makuu, gonga LIKE ikiwa umependa anavyojichanganya............Hebu fikiria ingalikua Mkulu au Obama.............(hadi kugonga menyu)
View attachment 101042
Acha uongo Amavubi! Mbona juzi nilikona umezivaa? Halafu ukakataa kula "ubwabwa" kwenye mkeka!View attachment 101794
watoto wa wenzetu wana uwezo huu............sisi kaputi, machukumchuzi
tuchokoze kidogo alichosema maana hatukuwepo wenginenilimchukia sana baada ya kumsikia alichosema pale Msikiti wa Idrissa huyu jamaa ni kwasabb ni Tz lakin nch za wenzetu angekuwa ameshakamatwa hafai hata kuwa mwenyekit wa kijiji
Unataka kusema huo ni mguu wa nini? Wa bia? Haiwezekani! Wa bia hauvaliwi hiyo kitu labda kama ni kwa ajili ya mazoezi.MwaJ tafadhali nitake radhi, si unauona kabisa mguu wa .........huuuuu?
wangu uko kama huu mwaJ, nitakutumia kwa What's Up, lakini nasisitiza huu ni mguu wa fulani.........ndiye kamanda wa Green GuardUnataka kusema huo ni mguu wa nini? Wa bia? Haiwezekani! Wa bia hauvaliwi hiyo kitu labda kama ni kwa ajili ya mazoezi.
Ukianza kuwataja hao Green Guard utaniharibia siku. Wao kuwa na Green ... wanaona sawa wenzao wakitaka kuwa an Red ... kelele na vitisho vinaanza! Aaaaaaa, ushaharibu story yetu ya ndala/yeboyebo na ubwabwa!wangu uko kama huu mwaJ, nitakutumia kwa What's Up, lakini nasisitiza huu ni mguu wa fulani.........ndiye kamanda wa Green Guard
ebo kumbe waijua Yeboyebo weye? .........................basi thiwataji tena hao Green Guard (oooops mara ya mwisho)Ukianza kuwataja hao Green Guard utaniharibia siku. Wao kuwa na Green ... wanaona sawa wenzao wakitaka kuwa an Red ... kelele na vitisho vinaanza! Aaaaaaa, ushaharibu story yetu ya ndala/yeboyebo na ubwabwa!
Watoto wa Kota na Masaki mtazijuaje hizi? Wakati sisi tunachezea vifuu ninyi mlikuwa mnachezea kompyuta, wakati sisi tunacheza baba na mama ninyi mlikuwa mnaangalia CD zenyewe zenyewe laivu bila chenga, tutawaweza wapi...Ha ha haaaaaaaaa! Wewe ni chiboko! Nilikuwa sijawahi kuona zilizofikia kiwango hicho! Mpaka vidoleni! Lol!
Nazijua sana tu! Ni hizi hapa!ebo kumbe waijua Yeboyebo weye? .........................basi thiwataji tena hao Green Guard (oooops mara ya mwisho)
Mkuu mie ni BBC kwa hiyo nimechezea sana tu hivyo vifuu.Watoto wa Kota ma Masaki mtazijuaje hizi? Wakati sisi tunachezea vifuu ninyi mlikwa mnachezea kompyuta, wakati sisi tunacheza baba na mama ninyi mlikuwa mnaangalia CD zenyewe zenyewe laivu bila chenga, tutawaweza wapi...
alaaa, kumbe ....anaonekana aiseeeeeeeWatoto wa Kota ma Masaki mtazijuaje hizi? Wakati sisi tunachezea vifuu ninyi mlikwa mnachezea kompyuta, wakati sisi tunacheza baba na mama ninyi mlikuwa mnaangalia CD zenyewe zenyewe laivu bila chenga, tutawaweza wapi...