Mtanga Tc
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 235
- 84
From my school of thoughts...hawa ndiyo wasio na makuu....vyakula natural kabisa, ni upepo mwanana wa migombani!!!!Huyu ni Profesa fulani
View attachment 101064
From my school of thoughts...hawa ndiyo wasio na makuu....vyakula natural kabisa, ni upepo mwanana wa migombani!!!!Huyu ni Profesa fulani
View attachment 101064
anamaanisha umekuwaje shabiki wa Yeboyebo/Kandambili na huijui vizuri? au ndio wewe wa kupelekwa na gari St Mary?
Ndala huwa haziwekwi kiraka bana, huwa zinaachwa zinakuwa na tobo kwenye kisigino!Nimeenda kuweka kiraka mkuu,
View attachment 101602Ndala huwa haziwekwi kiraka bana, huwa zinaachwa zinakuwa na tobo kwenye kisigino!
Ha ha haaaaaaaaa! Wewe ni chiboko! Nilikuwa sijawahi kuona zilizofikia kiwango hicho! Mpaka vidoleni! Lol!View attachment 101601
ni kweli zilikua hivi
Hhee mkuu umeondoa tena? naona kitu cha madini kimetamalaki mikononi.Nimeenda kuweka kiraka mkuu,
Mkuu hizo zinaitwa ndala kichaka, na lazima zitakuwa za mshabiki wa ile timu inayotoka kwenye ardhi tindiga iliyojaa kambale. TeheteheteheteheeeeeView attachment 101602
nitaweka kiraka zitakua hivi
Jamani, hayo mayai ni muda wake sahihi kweli?
Unahisi yamesha expire?
Ha ha haaaaaaaaa! Wewe ni chiboko! Nilikuwa sijawahi kuona zilizofikia kiwango hicho! Mpaka vidoleni! Lol!