Mpenda watu na hana makuu, gonga LIKE ikiwa umependa anavyojichanganya............Hebu fikiria ingalikua Mkulu au Obama.............(hadi kugonga menyu)
View attachment 101042
du simchezo, naona jamaa kama anaagiza waongezewe
Mpenda watu na hana makuu, gonga LIKE ikiwa umependa anavyojichanganya............Hebu fikiria ingalikua Mkulu au Obama.............(hadi kugonga menyu)
View attachment 101042
nahisi itakua ni PILIPILI
taratibu jamani.........publicity stunts..........
Yes hata ijayo, stay tuned.hata ijayo?
wamegundua atapigwa bao na watoto wa townswali zuri, ngoja watiririkaji wasaidie
au ndizi au kachumbarinahisi itakua ni PILIPILI
amenogewa sana huyu:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
kafuta chote kudadadeki
I am very optimistic, Hata Sief kule Zanzibar anajipangaYes hata ijayo, stay tuned.
...siku zote wanasiasa hujiinua kwa kujishusha,hujifanya wao ni wakawaida sana kumbe moyoni mmmh....Ana makuu sana ndiyo maana ugombea urais kila term.
kwi kwi kwi kiw kwi kwi kwi kwi nimecheka sana hawa jamaa kwa kupenda wali balaa naona jamaa anamuagiza mshkaji kuwa amesahau pilipili na ndizi zake kwenye gali akamletee ha ha ha ha ha ah