and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,432
- 40,145
Mwanamama Msomi, Shupavu alinyoosha UDOM ndani ya muda mfupi ila simuoni tena pale UDOM. Yupo wap?
Hivi yule lecturer kesi yake imeishia wapi?Mwanamama Msomi, Shupavu alinyoosha UDOM ndani ya muda mfupi ila simuoni tena pale UDOM. Yupo wap?
Yupo mbona sema kajifunguaMwanamama Msomi, Shupavu alinyoosha UDOM ndani ya muda mfupi ila simuoni tena pale UDOM. Yupo wap?
Ha ha ha! Acha hizo mama mtu mzee anajifungua?Yupo mbona sema kajifungua
Alikinyoosha chuo? HowMwanamama Msomi, Shupavu alinyoosha UDOM ndani ya muda mfupi ila simuoni tena pale UDOM. Yupo wap?