simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,694
- 9,580
Nimetizama repeat mchana huu, without a shadow of a doubt spoken english inatupa tabu kweli.
Namfahamu vizuri prof Mpangala, amenifundisha UDSM na tena kipindi nimekiangalia. Sijaona kuchapia kokote zaidi ya UZUSHI huu!.. Mzee huyu ni smart. Hata darasani ananondo nzuri za kueleweka kuhusu population issues ambazo hufundisha kwa kizungu bila chenga.
Prof ni maarifa uliyonayo kichwani na si kidhungu kama jamaa anavyodhaninani alikuambia uprof. ki kidhungu?
Mungu wangu naangalia kipindi cha this Week in Perspective namsikia Prof.Gaudence mpangala hoi kwa kuchapia nå kuwa nå Löw confidence akificha weaknesses zake Kwa cheko.dah,huyu ni prof au nn.UDSM pro? Ooooh my gosh!!!
viva tanzania. ukiwa kihiyo as long unafundisha udsm lazima utapata back up. WATANZANIA badilikeni msaidieni alipo kosea au penye upungufu akarekebishe.Tanzania upande wa elimu in the next 30 years !! mashakahuo ni ulimbukeni wako mkuu, mbona hao wadhungu unaowahusudu nao wanachapia kiswahili? Hicho kidhungu siyo lugha yetu......hivyo prof. Akichapia sioni cha ajabu nini......acha chuki binafsi banaaaaa!!!