Mungo Park
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 2,115
- 1,834
Unamfahamu vizuri Prof. Mpangala? Unajuwa amefundisha muda gani? Kipya kipi kimpe 'low confidence'? Au dalili za kigugumizi cha mbali ndiyo unaita 'low confidence'? Hebu mpe heshima yake..
Prof. Mpangala ni wa ukweli pale Institute of Development Studies. Ukitaka kumjua angalia research zake hasa katika "conflict resolution". Kisha tafuta timu ya wataalamu iliyokuwa chini ya Mwal Nyerere katika kusuruhisha mgogoro wa Burundi miaka hiyo uone mchango wa Prof. Mpangala. Masuala ya kingereza hayana tija sana hebu tuangalie content za kazi zake.Mungu wangu naangalia kipindi cha this Week in Perspective namsikia Prof.Gaudence mpangala hoi kwa kuchapia nå kuwa nå Löw confidence akificha weaknesses zake Kwa cheko.dah,huyu ni prof au nn.UDSM pro? Ooooh my gosh!!!
Mungu wangu naangalia kipindi cha this Week in Perspective namsikia Prof.Gaudence mpangala hoi kwa kuchapia nå kuwa nå Löw confidence akificha weaknesses zake Kwa cheko.dah,huyu ni prof au nn.UDSM pro? Ooooh my gosh!!!

U-profesa haumaanishi kujua kizungu,kuna maprofesa wangapi China,Korea na Japan na hawajui kizungu!! Kizungu na elimu/ujuzi ni vitu viwili tofauti.
Kutokujua kuongea kizungu haimaanishi kuwa wewe sio msomi! Kizungu ni lugha kama ilivyo kiswahili. Mbona wachina hawajui kizungu na bado taifa lao linasonga mbele kwa kasi kuliko hao wazungu?
Prof. Mpangala ni wa ukweli pale Institute of Development Studies. Ukitaka kumjua angalia research zake hasa katika "conflict resolution". Kisha tafuta timu ya wataalamu iliyokuwa chini ya Mwal Nyerere katika kusuruhisha mgogoro wa Burundi miaka hiyo uone mchango wa Prof. Mpangala. Masuala ya kingereza hayana tija sana hebu tuangalie content za kazi zake.
Unaweza ukasema amechapia neno gani labda?
Mungu wangu naangalia kipindi cha this Week in Perspective namsikia Prof.Gaudence mpangala hoi kwa kuchapia nå kuwa nå Löw confidence akificha weaknesses zake Kwa cheko.dah,huyu ni prof au nn.UDSM pro? Ooooh my gosh!!!
mbona anaongea vizuri tu. hizi chuki za vyuo vya kata kwa UDSM
Mungu wangu naangalia kipindi cha this Week in Perspective namsikia Prof.Gaudence mpangala hoi kwa kuchapia nå kuwa nå Löw confidence akificha weaknesses zake Kwa cheko.dah,huyu ni prof au nn.UDSM pro? Ooooh my gosh!!!
Umeshushuliwaje sasa, umebaki kumbwela tu
Mi kanikera kweli...eti kiingereza kwake ndio elimu!!