Prof UDSM hoi kwa "kidhungu"

Prof UDSM hoi kwa "kidhungu"

SAYANSI ni pana sana kuna sayansi ya lugha, sayansi ya jamii, sayansi ya siasa, sayansi ya sanaa, sayansi ya tiba, sayansi ya sanaa za maonesho, sayansi ya urais wa Tanzania, n.k., kila mtu angependa aitwe scientist.

Mkuu umenikumbusha mbali mambo yetu sie mascientist "Schrondingers equation" mambo ya quantum physics na enzi hizo tulikuwa hatujui kienglish tulikua tunaderive maequation tu
 
Nenda korea, China na Japan kuna maprof ambao hawahitaji hata kujua hicho kizungu. Nyie ndiyo bado mnaamini kuwa elimu ni kizungu na usipotia maneno ya kizungu utakuwa bado hujasoma. Hizo ni akili za kutawaliwa na Wazungu.
 
..Tunajidanganya mno tunapoamini kuwa hakuna ulazima wa kufahamu na kuzungumza Kiingereza fasaha eti kwa vile tu mbona Korea, China, Japan, India, Ujerumani na kadhalika kuna Maprofesa ambao hawajui Kiingereza!
Naomba niharakishe kusema kabisa hapa kuwa simzungumzii Profesa Mpangala. Ninaangalia Picha pana zaidi.

Ndugu Zanguni, Hebu angalieni majina ya hizo nchi mnazotaja yanavyotisha kwenye nyanja za Kiuchumi Duniani sasa hivi!

Wao wana huduma nyingi za kuuzia Ulimwengu na kwa maana hiyo hawana ulazima wa hiivyo kujifunza kiingereza ama hata kiswahili ili kuuza huduma zao!

Sisi tuna nini kitakachomlazimisha mtu kujifunza kiswahili? Ili angalau kwenda sambamba na wakubwa hawa wa Dunia tunalazimika sio tu kuwa na Maprofesa wanaofahamu na kuzungumza lugha kuu ya mawasiliano duniani, Kiingereza vyema bali pia tunalazimika kwa na maprofeza wanaofahamu na kuzungumza vyema Kichina, Kifaransa, Kijerumani, Kihindi, Kikorea na kadhalika ili angalau tu tuweze kwenda sambamba na wakubwa hawa Kiuchumi!

Na hili halina maana ya kuwa ni kutawaliwa kifikra na Wazungu! Ndio ukweli wenyewe japo Unatuuma.:sad:
 
huo ni ulimbukeni wako mkuu, mbona hao wadhungu unaowahusudu nao wanachapia kiswahili? Hicho kidhungu siyo lugha yetu......hivyo prof. Akichapia sioni cha ajabu nini......acha chuki binafsi banaaaaa!!!
Nimekuatana na Prof mmoja muitaliano, kiingereza chake utadhani kasoma shule zetu za kata. Naye ni mzungu au sio?
 
Labda ni Prof wa Kiswahili kama yule wa CDM Kulikoyela Kahigi!! (Just a joke)
 
Mungu wangu naangalia kipindi cha this Week in Perspective namsikia Prof.Gaudence mpangala hoi kwa kuchapia nå kuwa nå Löw confidence akificha weaknesses zake Kwa cheko.dah,huyu ni prof au nn.UDSM pro? Ooooh my gosh!!!


Tena mimi nawashangaa watanzania kwanini mpaka leo bado wanang'ang'ania kiingereza wakati ulaya kila nchi inatumia lugha yake mpaka degree zote. Kujua lugha nyingine ni juhudi zako binafsi endapo unategemea kufanya kazi nje ya nchi. hata hao maprofesa nawashangaa sana kwanini wakati wa presentation wanauliza maswali kwa kiingereza na sio kiswahili ili kujua vizuri uelewa wa mtu
 
Tena mimi nawashangaa watanzania kwanini mpaka leo bado wanang'ang'ania kiingereza wakati ulaya kila nchi inatumia lugha yake mpaka degree zote. Kujua lugha nyingine ni juhudi zako binafsi endapo unategemea kufanya kazi nje ya nchi. hata hao maprofesa nawashangaa sana kwanini wakati wa presentation wanauliza maswali kwa kiingereza na sio kiswahili ili kujua vizuri uelewa wa mtu

kwanini wewe tanzania usijiulize unatumia lugha gani??unatumia kiingereza......sasa profesa kasoma kwa kutumia kiingereza....na anafundisha chuo kikuu kwa kiingereza logically u would think he is good/excellent in english(im not talking abt prof Mpangala).....na lazima tushangae,tushtuke,tusikitike profesa anaefundisha chuo kikuu kwa kutumia kiingereza HAJUI KIINGEREZA

kuhusu china,korea etc wanatumia kichina,kikorea etc kusoma so hata wasipojua kiingereza sio big deal...but hey unis and colleges in england zimejaa wachina(wana english primary schools in china),russians(hawa wanaanzia primary),koreans wa upper class(watoto wa chinese millionares/billionares) ambao wakirudi china wanatawala waliosoma china,na wana advantage of chinese waliosoma locally...do you think china hakuna good unis/colleges mpaka waende UK/USA???

msijidanganye na kusema ENGLISH is nothing wakati mnasumbuliwa hata na wakenya tu kwenye ajira(ndani ya nchi yenu) kisa wanajua kiingereza(tena kibovu)
 
Wala usimlaumu prof! Mwenzenu kazaliwa huko Manda au umatengoni hajazaliwa na hicho kizungu chako! loh, kaka ilaumu system ya serikali yako na maono yake! Serikali ambayo viongozi wake wanasomesha watoto wao ulaya ua kwingineko wakati wao wanasisitiza kiswahili mpaka vyuo vikuu, serikali yako ambayo viongozi wake hakuna hata mmoja mwenye mtoto anayesoma shule ya msingi Manzese Uzuri, Mugabe, Tandika etc, Ni hao hao viongozi ambao kwa sasa watoto wao ndio wanaofanya kazi katika idara nyeti kwa kuwa wameenda shule, BOT, TRA, na agencies mbali mbali! Hawaamini wanachokihubiri!

Nina hasira ile mbaya, kaka naweza kuitafuna hii jamii forum kesho msione hii page nlivyofume! Ni haka kanchi ketu haka haka ambako wameshapita marais wanne na hali inakuwa mbaya kuliko tulipotoka! kanchi ka viongozi wa hila hila tuuuh! siasa mingi, mwaka na 77 wakati jumuiya ya Afrika Mashariki inavunjika kenya waligawiwa ndege nne, sasa wanazo 42 self owned! TZ hakuna hata moja! tuliambiwa tule manyasi president apate yake! Uganda ilikuwa wapi na iko wapi sasa?

Nchi ambayo wizara ya elimu haina mtaala wa elimu na bado mpaka sasa waziri anaaga asubuhi anakwenda kibaruani! ingekuwa kwangu thubutu! huko huko! Nchi serikali inayowaadhibu wanachi wake kwa kuwapinga! nchi yenye madini kupita nyingi afrika, nchi yenye mbuga za wanyama nk. Serikali isiyojua kwa nini watu wake ni maskini

NAJISIKIA KUNYWA SUMU
 
Ni Prof wa nini ?, labda tungefahamu kwanza.., huenda ni Prof wa Kiswahili.. au Uprof wake (anachofundisha) has nothing or little to do with lugha
 
Ni Prof wa nini ?, labda tungefahamu kwanza.., huenda ni Prof wa Kiswahili.. au Uprof wake (anachofundisha) has nothing or little to do with lugha

Has nothing to do with lugha? Sasa anafundishia kwa kutumia njia gani? Lugha ya alama?
 
ni wa kiswahili huyo. wabongo washamba sana, tumeshaathirika na kasumba na hatujielewi. yahani watu wanadhani kusoma ni kiingereza. maprofesa wa kichina hawajui kiingereza kabisa.
 
You teach using language, don't you?

So long as what's needed is communication so whatever lingo the Prof portrays is enough (be it sign language or gestures).., that's why I said what he is teaching (might have nothing or little to do with the language) the language is only used as a means of communication between him and his peers...

You see the when a child cry we might understand that he is communicating his hunger to us..., but the cry is not the substance of the issue, or we might not say his crying is not perfected as long as we understand.
 
kaka lugha hukuzwa na uchumi haraka kuliko hizo politique zenu! kama uchumi hola itaishia kuwa lugha ya kunywea bia baa na starehe nyinginezo basi! Kiswahili kwa taarifa yenu ndicho kinachotumika sasa kutugawa watz kwa kila hali! yangu macho! Najisikia kujinyonga!
 
So long as what's needed is communication so whatever lingo the Prof portrays is enough (be it sign language or gestures).., that's why I said what he is teaching (might have nothing or little to do with the language) the language is only used as a means of communication between him and his peers...

If you are going to teach you ought to be proficient in the language used as the medium of instruction.

And what do you mean by "the language is only used as a means of communication between him and his peers"? Because definitely the students are not peers to the teacher.

But still, even among your peers you have to be able to articulate your thoughts coherently and that can't be done with a low level proficiency in whichever medium is used.

So how you can discount the importance of language proficiency is beyond me!

You see the when a child cry we might understand that he is communicating his hunger to us..., but the cry is not the substance of the issue, or we might not say his crying is not perfected as long as we understand.

I see you also have issues with your proficiency, lol. Now I get why you are circling the wagons around the professor:teeth:
 
Dah sasa hapa tusio na uwezo wa kuangalia hicho kipindi tumebaki solemba !! Either kweli mleta hoja ndiyo maimuna au wengine wengi ambao wamesema wanamjua ndiyo wasema ukweli.
In either way, kujua kingereza sio kuelimika au kuwa na nondoz. Umombo hata wao wenyewe unawashinda....acha wa kuombea maji au fish n chips !
Tupeni video hapa tuamue wenyewe... na tulinganishe na ile ya yule profwesa wa WAMA 🙂
 
Mi kanikera kweli...eti kiingereza kwake ndio elimu!!

Mm namuunga mkono mtoa mada. Natambua kuwa maprof wa china, korea, urus n.k hawajui kingereza. Lkn mkumbuke kuwa maprof wa nchi hzo walipata elimu na maarifa yao kwa lugha zao. Sasa hapa kwetu elimu/maarifa hutolewa kwa kingereza. Iweje basi mtu abobee hadi ngazi ya uprof. ikiwa haelewi /hamudu lugha iliyotumika kumpa maarifa hayo? Hii inawezekana kwene fani za michezo ama ufundi tu lkn siyo kwene fani zinazohitaji udadavuzi kama ya prof mpangala. Tukubali tu kuwa pengine aliupata kimizengwe. Hapa bongo kila ki2 kinawezekana. Kama twiga alikunjwa na kupakiwa kwene ndege akiwa hai itashindikana kupata uprof? Kuna mchangiaj kasema IDS wamekataa mada na course alizoanzisha mpangala. Unadhan hakuna uozo kwa huyo prof kwel? Ni hayo tu toka kwangu.
 
Back
Top Bottom