Prof. Tibaijuka: Nilipendekeza iundwe Tume ya Kijaji, ingepunguza kelele za ICC kuliko tume ya Rais matukio ya Oktoba 29, 2025

Prof. Tibaijuka: Nilipendekeza iundwe Tume ya Kijaji, ingepunguza kelele za ICC kuliko tume ya Rais matukio ya Oktoba 29, 2025

Kwamba wote waliouawa ambao hawakuwa kwenye maandamano, walikaidi agizo la kutotoka nje?

Unaandika uongo kutetea mauaji halafu unajiona wewe ni muislamu safi kila siku uko mskitini?

Kumma la bibi yako fala wewe, sidhani kama unajua uchungu wa kumpoteza mtu asiyekuwa na hatia watu wameuawa wanakula ndani halafu wewe unasema walikaidi agizo la majangili wenu?

bila shaka wale wauaji huwa wanakufira wewe na familia yako kila iitwapo leo, maana sio kwa kuwatetea huku mbwa wewe...

Na hii regime haifiki 2030 itaanguka tu piga ua garagaza tuko hapa.
Shoga huyo
 
Mkuu tume anayounda Rais ina mamlaka makubwa, hao waliomo ndani ya tume ya Chande wote ni wanasheria wabobezi.
Dhamira ya yeye kuunda tume ya kujichunguza ni nini? Si angewaachia kina Mwabukusi waunde tume ya kijaji ili mbivu na mbichi zijulikane.
 
Tembeeni huko nje mjifunze madhara ya kile mlichokifanya humu nchini. Ukileta machafuko unawaponza hata wale ambao hawakuhusika.

Nenda Angola na Liberia uone vilema waliovunjwa miguu kwa sababu ya kulipukiwa na mabomu wakati hawakuwa na uhusiano wowote ule na siasa za nchi zao.

Vyovyote unavyojaribu kuhalalisha uchafu ule, yale yalikuwa mapinduzi haramu, kumbuka kuna watu walikatwa vidole wakiwa wametoka kupiga kura walikuwa na kosa gani?.

Kumbuka kuna biashara zimekufa kabisa baada ya matukio ya kuchoma moto mali yaliyofanywa na wale vijana, biashara hizo zina kosa gani?.

Hakuna cha uprising, alipozimwa Mange na ile akaunti yake ya whatsapp machafuko mengine yakafa kifo cha kawaida.

Huwezi kumtoa SSH kindezi namna ile, tulimpigia kura kwa wingi wetu, lengo lenu chafu limeishia kuleta vifo vya mamia kwa mamia ya vijana wasio na hatia halijaweza kuipindua dola.
Mashoga mmepata audacity sana kwenye utawala huu dhalimu. Kila kitu kinachomhusu mwenyekiti ni kusifu na kuabudu tu hata kwa mambo ya kishetani. Mass killings is a grave mistake for fucx sake regardless of the cause!
 
Tume ya kijaji kufanya nini? Waliouawa wote ilikuwa harakati za kuzima mapinduzi na wengine waliokufa bila kuwepo kwenye vurugu ilikuwa kukaidi amri ya kutotembea nje iliyokusudia kuwatengenisha kati ya wanaofanya mapinduzi na raia wema. Kumbuka kuwa vurugu zile zilijumuisha uchomaji wa ofisi muhimu za serikali na mauaji ya walinzi wa dola. Katika hali hiyo vifo haviepukiki hata kidogo kwakuwa hakuna aliyekuwa na uhakika ni mali kiasi gani zilipangwa kuharibiwa na maofisa wangapi wa dola walitakiwa kuuliwa ili kufanikisha nini.

Mama Tibaijuka anajulikana yeye ni mpinzanzani tangu akiwa kule chuo kikuu na aliwahi kupata misukosuko kupitia baraza lake la wanawake. Na siku zote wapinzani wa serikali wana uhusiano mkubwa na wakoloni/mabeberu, na haishangazi kumuona huyu mama kufanyakazi kwenye shirika la UN ambalo linamilikiwa na mabeberu. Yaani huwezi kupata nafasi kule kama sio mtu wao kindakindaki.

Huyu mama alipata mgao wa fedha za Escrow kupitia bank ya Mkombozi, hivyo huwezi kumtenganisha na Padre Kitima hata kidogo.
Basi unajiona umemwaga point balaa.
 
"Rais alisema ataunda tume jambo jema kabisa na mimi nikaona kwa uzoefu wangu tuunde tume ya kijaji, ukienda Kwenye account ya X utaona kwamba nilipendekeza i iundwe tume ya kijaji.

Sasa kama ilivyo mambo mengi labda haikueleweka tangu Tanzania iundwe haijawai kuunda na tume ya kijaji tunakuwa na hizi Presidential commission za inquiry za uchunguzi wa ndani wa kiserikali.

Kwa nini nilipendekeza tume ya kijaji? Tume ya kijaji inaitwa Judicial inquiry sasa hivi tuna tume ambayo ni Presidential commision ambayo inaongozwa na mtu ambaye hana shaka lolote kabisa, lakini ile haiwi tume ya Kijaji kwa sababu pale kuna muheshimiwa Osman" - Alisema hayo Prof. Anna Tibaijuka akiwa katika mahojiano na Crown Media

Ingekuwa ni yaleyale tu kama judges wenyewe wangekuwa ni hawa waliomo kwenye hii tume labda kama tungeomba wa kutoka nchi jirani kama Kenya au time ingeongozwa na mtu kama judge Warioba kwa jinsi alivyo credible watu hususan wahanga wa MO29 wangekuwa na imani pia wengi zaidi wangejitokeza na kufunguka bila ya kumung'unya maneno.
 
Tembeeni huko nje mjifunze madhara ya kile mlichokifanya humu nchini. Ukileta machafuko unawaponza hata wale ambao hawakuhusika.

Nenda Angola na Liberia uone vilema waliovunjwa miguu kwa sababu ya kulipukiwa na mabomu wakati hawakuwa na uhusiano wowote ule na siasa za nchi zao.

Vyovyote unavyojaribu kuhalalisha uchafu ule, yale yalikuwa mapinduzi haramu, kumbuka kuna watu walikatwa vidole wakiwa wametoka kupiga kura walikuwa na kosa gani?.

Kumbuka kuna biashara zimekufa kabisa baada ya matukio ya kuchoma moto mali yaliyofanywa na wale vijana, biashara hizo zina kosa gani?.

Hakuna cha uprising, alipozimwa Mange na ile akaunti yake ya whatsapp machafuko mengine yakafa kifo cha kawaida.

Huwezi kumtoa SSH kindezi namna ile, tulimpigia kura kwa wingi wetu, lengo lenu chafu limeishia kuleta vifo vya mamia kwa mamia ya vijana wasio na hatia halijaweza kuipindua dola.

Attachments

  • 6223126-8be1d1a5066d282c809bb601c639198.mp4
    4 MB
  • 6223122-55c8ecfa20ce4fc7724ee2fd9202244.mp4
    1.4 MB
Tembeeni huko nje mjifunze madhara ya kile mlichokifanya humu nchini. Ukileta machafuko unawaponza hata wale ambao hawakuhusika.

Nenda Angola na Liberia uone vilema waliovunjwa miguu kwa sababu ya kulipukiwa na mabomu wakati hawakuwa na uhusiano wowote ule na siasa za nchi zao.

Vyovyote unavyojaribu kuhalalisha uchafu ule, yale yalikuwa mapinduzi haramu, kumbuka kuna watu walikatwa vidole wakiwa wametoka kupiga kura walikuwa na kosa gani?.

Kumbuka kuna biashara zimekufa kabisa baada ya matukio ya kuchoma moto mali yaliyofanywa na wale vijana, biashara hizo zina kosa gani?.

Hakuna cha uprising, alipozimwa Mange na ile akaunti yake ya whatsapp machafuko mengine yakafa kifo cha kawaida.

Huwezi kumtoa SSH kindezi namna ile, tulimpigia kura kwa wingi wetu, lengo lenu chafu limeishia kuleta vifo vya mamia kwa mamia ya vijana wasio na hatia halijaweza kuipindua dola.

Tume yenyewe hii ilipoanza kupokea ushahidi iliogopa na kuamua kuzima kamera kwa sasa hatujui hata kinachoendelea
 
Huyu mama kapiga weeeee leo hii hayupo kwenye mfumo ndiyo anajifanya mtu mwema. Huyu si ndiyo aliyetuambia Bilioni moja ni hela ya mboga.

Nakumbuka alikuwa waziri wa Ardhi miaka ya JK. Kuna eneo ambalo kwasasa ni eneo la Mloganzila Hospitali aligoma kutulipa maeneo yetu kisa tuligoma kupokea kiasi Kidogo ambacho alikipanga yeye na ofisi yake

Awadanganye mabwege tu ndiyo watamuamini.
Haya malalamiko yako ya ESCROW ya Kikwete na viwanja ambavyo hamkulipwa fidia na serikali yake yanahusiana vipi na hoja zake za mauaji ya October 29 chini ya Samiah?
 
Haya malalamiko yako ya ESCROW ya Kikwete na viwanja ambavyo hamkulipwa fidia na serikali yake yanahusiana vipi na hoja zake za mauaji ya October 29 chini ya Samiah?
Hatutaki wanafiki ambao wanaongea kwa vile wako nje ya mfumo.
 
Inabidi turudi darsani kidogo. Katika statistics kuna kinachoitwa 'sample size''. Kwa kutumia sample size utafanya qualitative and quantitative analysis ili kupata matokeo halisi.

Watu wangapi wamehojiwa, ni lazima uonyeshe ukilinganisha na ukubwa gani !
Kama wamehojiwa watu 500 ni wengi lakini je ni wengi kama sample size ya Wapiga kura ''milioni 30'' na Watanzania milioni 60?

Tukija katika quality, akina Mpina na Mwamakula wanasababu za kuitwa!
Tume imebaini kuna umuhimu wa kuwaihoji! Kwa wawili hao kutokwenda kuna athari katika quality

Tume haina nguvu za kuwalazimisha watokeo !! hapo ndipo hoja ya Tribunal inapokuja.
Ingalikuwa Tume ya kijaji , wito ni lazima kisheria kinyume chake ni adhabu. Kwa Tume ya Chande hawana la kufanya!

Haaa! wewe ndiye ulisema Tume imeundwa ili viongozi wasihojiwa na Tume yoyote ya nje au ndani.
Nilikujibu kwamba kama hilo ni lengo Tume haitafuti ukweli! Rudi nyuma usome maneno yako mwenyewe

Matumizi ya akili ni jambo jema! mfano, kuna anayesema Dhahabu inauzwa kusawazisha mizani BoT.
Mwingine anasema ni kununua hakula. Mwingine anasema ni ziada iuzwe. Kuhoji kwanini kuna majibu tofauti ni kuwa negative?? Ndio haya ya Tume ya Chande! Je, Tibaijuka ni negative? Ndiye tunajadili hoja yake
Mamlaka ya rais yanamruhusu kuunda tume, kumbuka wakati inatokea vurugu ambayo baadhi ya wanasiasa walitaka waitumie katika kusema kwamba hakuchaguliwa kihalali yeye alikuwa bado ni Rais aliyeapishwa kihalali.

Kikatiba kaunda tume na mojawapo ya nia ni kumlinda yeye na mamlaka yake. Kumbuka kule Kenya Hawakuunda tume baada ya yale mauaji ya 2008 matokeo yake Kenyatta na Ruto wakabebwa na kupelekwa ICC. Hicho kitu kwa hapa Tanzania hakiwezi kutokea kwa sababu ya uwepo wa hiyo tume.

Sioni ni kwa namna gani tume ya kijaji inaweza kuja na matokeo tofauti na hii ya Rais, tukumbuke wajumbe wa tume ya Chande ni majaji wakuu wastaafu, Ibrahim Juma na Chande Othman, Said Mwema ni mtaalam wa intelligensia wa miaka mingi.

Sioni tofauti ya hiyo tume ya kijaji na hawa majaji waliopo kwenye tume ya rais, yaani Profesa Tibaijuka yule yule aliyekosoa suala la DP World bila ya kuwa na uelewa mpana wa biashara ile leo hii anakosoa tume ya Chande!.

Tuwaache wafanye kazi, miluzi mingi humpoteza mbwa.
 
Mashoga mmepata audacity sana kwenye utawala huu dhalimu. Kila kitu kinachomhusu mwenyekiti ni kusifu na kuabudu tu hata kwa mambo ya kishetani. Mass killings is a grave mistake for fucx sake regardless of the cause!
Mass killings zilitokea kwa sababu maalum, mbona tarehe 9 na 25 desemba hakufa mtu hata mmoja?.

Umpige risasi polisi umvue magwanda yake uyavae halafu uangaliwe tu na mfumo, ukiuchokoza mfumo wa ulinzi lazima utakuadhibu.

Mass Killings kila siku zinatokea Uvira, Goma na mashariki yote ya DRC. Tanzania ilitokea siku ile na haitakuja kutokea tena.

Nyinyi mashoga wa wazungu mtaishia kulialia tu humu JF.
 
Ingekuwa ni yaleyale tu kama judges wenyewe wangekuwa ni hawa waliomo kwenye hii tume labda kama tungeomba wa kutoka nchi jirani kama Kenya au time ingeongozwa na mtu kama judge Warioba kwa jinsi alivyo credible watu hususan wahanga wa MO29 wangekuwa na imani pia wengi zaidi wangejitokeza na kufunguka bila ya kumung'unya maneno.

Watanzania kwenye hili wanatakiwa kusamehe tu , haya mengine ni kujipa matumaini hewa

watu wanasema ingeundwa tume ya kijaji au wangetoka watu kutoka nje ya nchi --- wanapewa kibali na nani? na hawa wananchi wanataka nani wamshtaki?

si yaleyale ya kutaka mgombea anayetetea muhula wa pili kufanya reforms ambazo anauhakika hazitomrudisha kwenye muhula huo wa pili

Watu wasamehe , mchakato wa kuanza kuboresha yanayodaiwa na yaliyoahidiwa uanze muda huu hakuna kikwazo kikubwa aliyopo kwenye kiti hana muhula mwingine wa kusema atautetea

Kalamu way forward ni ipi kwenye hili?
 
Anaweza kuwa sawa!

Pia anaweza kuwa AGENT PROVOCATEUR.

Double Agent.

INSTIGATOR..

SPECIAL MISSION
 
Back
Top Bottom