Anna Kajumulo Tibaijuka (; born 12 October 1950) is a Tanzanian politician and United Nations official. She was a Chama Cha Mapinduzi (CCM) Member of the National Assembly for Muleba South constituency during 2010 to 2020 and served as the Minister of Lands, Housing and Human Settlement Developments from 2010 to 2014.
Tibaijuka is also a former Under-Secretary-General of the United Nations and executive director of the United Nations Human Settlements Programme (UN-HABITAT). She was the second highest ranking African woman in the UN system, after Deputy Secretary-General Asha-Rose Migiro, until her resignation in 2010 to run for political office in Tanzania.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza umuhimu wa kuheshimu misingi ya katiba na uhuru wa mihimili ya dola, akibainisha kuwa mahakama ni mhimili huru unaopaswa kuachwa utekeleze majukumu yake bila kuingiliwa au kujadiliwa kisheria.
Akizungumza...
Profesa Anna Tibaijuka anasema kwamba kusema matukio ya Oktoba 29, 2025 ni ya kupangwa, kama serikali inavyodai, siyo sahihi. kwa mujibu wake, kilichotokea ilikuwa ni mshituko, “rapture,” uliotokana na hasira za wananchi dhidi ya utawala wa mabavu
Pia soma: Prof. Tibaijuka: Huwezi kuwazuia...
Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan amwachilie huru Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aliyeko rumande katika Gereza Kuu la Ukonga kwa Zaidi mwaka mmoja akiendelea na kesi ya uhaini inayomkabili.
Profesa Tibaijuka ameandika ujumbe katika mtandao wa X...
Anna Tibaijuka, aliyekuwa Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi, UN-Habitat-Nairobi na Waziri wa Tanzania, anachambua marekebisho ya Sheria ya Fedha 2026 kwenye kifungu cha 69 cha Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania. Marekebisho hayo yanaruhusu serikali kupata mapato ya muda kutoka kwa...
Katika mahojiano yake na mwandishi Khalifa wa The Chanzo, Prof Tibaijuka alitetea serikali mbili akirejea kuvunjika kwa muungano wa USSR baada kuanzishwa serikali ya Urusi na kudai ilidhoofisha muungano wa USSR.
Huu sio kweli, serikali ya Urusi iliyoundwa mwaka mmoja 1990 kabla ya USSR...
Waziri mstaafu na Mchumi, Profesa Anna Tibaijuka, ameeleza kusikitishwa kwake na wimbi la watu kupotea nchini na kulani vitendo hivyo akivitaja kama doa kubwa kwa taifa.
"Kazi ya kwanza ya serikali—na mimi nazungumza kama profesa wa uchumi hapa—kazi ya kwanza ya serikali wala sio kuleta...
Mwanasiasa mkongwe Anna Tibaijuka, akizungumza kupitia The Chanzo, amesema deni la taifa linaonyesha dalili za kutokuwa himilivu kulingana na takwimu za bajeti ya hivi karibuni, akisisitiza kuwa maoni yake yanatokana na uchambuzi wa kitaalamu na si msimamo wa kisiasa.
Prof. Tibaijuka amesema...
Mwanazuoni na Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka, amesema haiwezekani kuwazuia vijana kuandamana wanapokuwa na hasira zinazotokana na kero mbalimbali zinazowakabili katika jamii.
Akizungumzia matukio ya Oktoba 29, Prof. Tibaijuka alisema yaliyotokea yalikuwa janga kubwa, huku akihoji...
Profesa Anna Tibaijuka amesema polisi wana haki ya kuhoji kauli au jambo lisiloeleweka wanapohisi linaweza kuwa na viashiria vya uchochezi au kusababisha vurugu.
"Polisi akisikia jambo halieleweki, hata kauli haieleweki, ana haki ya kuuliza kwamba wewe hapo ulikuwa unamaanisha nini, kama yeye...
Profesa Anna Tibaijuka amesema haridhishwi na mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akieleza kuwa mchakato wake unaonekana kwenda polepole kuliko matarajio ya wengi.
"Tundu Lissu kwanza alikamatwa, yaani alishtakiwa, yuko polisi, tunamwona. Wakati mwingine kesi yake tunamwona...
Anajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi.
Lakini yeye huko nyuma alikuwa mnufaika wa ufisadi wa CCM akapokea bil mbili akaita ni pesa za mboga. Kisa tu wengine walipata mgao mkubwa wa kifisadi.
Mbaya zaidi ufisadi ulifanyanyika kwa...
UJUMBE KUTOKA KWA MDAU:
Nina mdogo wangu amepotea tangu Aprili 22, 2026, alipewa barua shuleni ya kumleta mzazi na baada ya kuondoka shule hakufika nyumbani wala hakurudi shuleni mpaka sasa. Ametafutwa bila mafanikio, wasifu wake huu hapa:-
Jina: Ezbon Mgisha Sadock
Umri: Miaka 15
Shule...
Naheshimu na Uwezo na Carrier ya Professor Anna Tibaijuka ni Msomi mzuri aliyekulia ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM upande wake mwingine
anafahamika kuhusika na kashfa ya Escrow Account
Bibi huyu kwa sasa mfumo umemkataa ndiyo maana anabwabwaja kila siku kuinanga Serikali ya awamu ya 6 lakin...
"Rais alisema ataunda tume jambo jema kabisa na mimi nikaona kwa uzoefu wangu tuunde tume ya kijaji, ukienda Kwenye account ya X utaona kwamba nilipendekeza i iundwe tume ya kijaji.
Sasa kama ilivyo mambo mengi labda haikueleweka tangu Tanzania iundwe haijawai kuunda na tume ya kijaji...
Wakati akihojiwa na Crown Tv Prof. Anna Tibaijuka amesema Mikataba yote inahusu Rasilimli za Taifa inapaswa kupelekwa Bungeni lakini isipopelekwa ni madhambi”
Soma Pia: Prof. Tibaijuka: Huwezi kulileta taifa pamoja na kiongozi wa upinzani yuko gerezani
Mwanasiasa mkongwe Prof. Anna Tibaijuka, akizungumza na Salim Kikeke kwenye Kikao Na Kikeke, anaeleza kuwa ni ngumu kulileta pamoja taifa wakati kiongozi wa upinzani akiwa gerezani.
Mbunge wa zamani wa Muleba Kusini na waziri wa Ardhi katika serikali ya awamu nne Prof. Anna Tibaijuka kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) Anaandika;
"Wakati tunasubiri Tume ya Uchunguzi kutupa taarifa na majibu ya kina kuhusu mauaji ya 29 Oktoba, uwajibikaji stahiki na mbinu za kuliponya taifa...
Kiuhalisia Tanzania imeendelea kuwa ngumu sana! Vitisho na hofu kwa wananchi zimekuwa kubwa sana
Unaogopa kusema kitu kwa hofu ya kutekwa Mungu atusaidie sana tuondoke huku.
Mama Tibaijuka naye kasema ukweli mtupu maana matukio ya namna hii ni lazima tu yatazalisha ugaidi mkubwa sana na hata...
Profesa Anna Tibaijuka akizungumza kupitia Wasafi TV, Januari 24, 2025 alisema, "Tumefikia mahali ambapo Mtu ukiwa mwadilifu, ku-survive ni ngumu ni ngumu sana, mizengwe itatafuta tu"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.