tume ya rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Swala la jinai haliitaji Tume ya Rais, sitegemei lolote jipya kwenye Tume ya Jaji Lila

    Mahojiano ya Wakili Peter Madeleka, yaliyorushwa na SAUT Digital Agosti 9, 2026 eo: Madeleka: Kitakachokwenda kupatikana kwenye tume hii ni ripoti. Ripoti ambayo ni mali ya Rais. Mali ya Rais ambayo hawajibikii kuitoa adharani kama alivyofanya kwenye Tume ya Jaji Jishande. Sasa sitegemee...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akishiriki uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 07, 2026 ameshiriki uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Uzinduzi huo umefanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia anazindua Tume ya Rais ya Uchunguzi wa wahusika wa ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=lTwq-sOG2Is Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania 1/6/2026 Mahakama Kuu Kigoma kusikiliza maombi ya Marejeo yanahusu uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29

    TAARIFA KWA UMMA Kesho tarehe 1/6/2026 Mahakama Kuu Masijala ya Kigoma mbele ya Jaji Rwinzile itasikiliza maombi ya Marejeo (Judicial Review) yaliyofunguliwa na 1. Buberwa Ephraimu Kaiza 2. ⁠Joseph Daudi Mabugo Maombi hayo yanahusu uhalali wa Tume iliyoundwa na Mh. Rais ya Kuchunguza Ujinai...
  5. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya jaji mkuu mstaafu Mohamed chande othman, mwenyekiti wa tume ya rais ya kuchunguza matukio ya October 29 mwaka 2025

    HOTUBA YA MHE. JAJI MKUU MSTAAFU MOHAMED CHANDE OTHMAN, MWENYEKITI WA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA GHASIA NA UVUNJIFU WA AMANI YALIYOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA, 2025, WAKATI WA KUWASILISHA RIPOTI YA TUME DAR ES SALAAM, TAREHE 23 APRILI 2026 ·...
  6. 888I

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nilivyoielewa Hotuba ya Jaji Chande

    Hotuba ya Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, iliyowasilishwa Leo (tarehe 23 Aprili 2026), inatoa picha halisi, nzito, na ya kusikitisha kuhusu kile kilichotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Hapa chini ni mambo matano (5) ya niliyoyaona kutokana na...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uchunguzi wa Amani wakati na baada ya uchaguzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23 Aprili, 2026. #UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mahakama Kuu yaidhinisha uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeidhinisha uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, baada ya kutupilia mbali shauri lililokuwa likipinga uhalali wake. Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa, Machi 13, 2026 na...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Nilipendekeza iundwe Tume ya Kijaji, ingepunguza kelele za ICC kuliko tume ya Rais matukio ya Oktoba 29, 2025

    "Rais alisema ataunda tume jambo jema kabisa na mimi nikaona kwa uzoefu wangu tuunde tume ya kijaji, ukienda Kwenye account ya X utaona kwamba nilipendekeza i iundwe tume ya kijaji. Sasa kama ilivyo mambo mengi labda haikueleweka tangu Tanzania iundwe haijawai kuunda na tume ya kijaji...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mpina akataa wito wa Tume ya Rais ya kuchunguza matukio ya Uchaguzi Oktoba 2025

    Nakiri kupokea barua yako yenye Kumb. Na. SAE. 3511527/L ya tarehe 21 Januari 2026, ikinitaka kufika kukutana na Tume tarehe 31 Januari 2026, kuanzia saa 2:00 mchana hadi saa 9:00 alasiri katika Ukumbi wa Manyara, Benki Kuu – Dar es Salaam. Utakumbuka kuwa mnamo tarehe 18 Novemba 2025, Chama...
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tukitukana mnasema tuna matusi. Jitu limeiba 2.5b, tume ya Rais ilishachunguza ikampa ripoti, halafu Rais anakuita wazi

    Hivi kufungiwa kwa jizi lililokuwa linaiba nauliza za vivuko, linaiba Hela ya matengenezo, ya vivuko, kila siku linaelekeza vivuko vialubiwe Ili liombe malipo hewa Bado tuna liacha Muda wote tangu litumbuliwe limekaa nyumbani linamgegeda mkewe mpaka waziri mkuu mwigulu ulipoitwa na Raisi...
  12. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Mahakama isitishe kusikiliza shauri la uhaini dhidi ya Tundu Lissu hadi tume ya Rais itapokamilisha kazi yake

    Friends and Our Enemies , Sote tunajua na tunakubali ya kwamba zile fujo na vurugu zilizotokea tareh 29.10.2025 zilihamasishwa na kupangwa na makundi mbali mbali kama TEC na wanasiasa kama Lisu bila kuwasahau washirika wao wengine wanaharakati diaspora njaa. Sasa,kwa kuwa Mh Rais ameshaunda...
  13. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Rais isiwe na viongozi wa siasa,dini wala kutoka kila mkoa

    Nashauri tume ya upatanishi/maridhiano iwe HURU kabisaaa isiwe na viongozi wa siasa,dini, wala serikali na wajumbe wake watoke kila wilaya kwa jinsia tofauti hapo italeta usawa na haki si vinginevyo.
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi: Tunataka mfumo wa kodi uwe rafiki kwa walipakodi, uimarike kwa uwazi

    Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi imefanya kikao na wadau wa kodi mkoani Iringa, ikilenga kupokea maoni na mapendekezo kuhusu changamoto za kodi na tozo mbalimbali zinazokwamisha maendeleo ya biashara. Mjumbe wa Tume na Mwenyekiti wa kundi dogo la Tume, Balozi Mwanaidi Maajar, amesema kuwa...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vituko vya dini Afrika: Kenya na Tume maalum ya Rais kuchunguza waabudu shetani(Devil worship) mwaka 1994!

    Ni jambo la kushanga ila ni tukio halisi, Rais Daniel Arab Moi wa Kenya mwaka 1994 aliwahi kuunda tume maalum ya Rais kuchunguza imani za waabudu shetani Kenya. Hata hivyo baada ya ripoti kutoka serikali haikuiweka hadharani rasmi na iliipotezea bila kutekeleza mapendekezo yake mbalimbali kwa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Uchumi wetu unakua lakini tunachokusanya kingi kinaingia mifukoni kwa Watu

    https://www.youtube.com/live/ZEQdEtlGZ6o Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi Dar es Salaam, leo tarehe 04 Oktoba, 2024. RAIS SAMIA: UCHUMI WETU UNAKUA LAKINI HAUAKISI TUNACHOKIPATA Rais Samia Suluhu Hassan amesema...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Tume ya Rais ya Kuboresha Sheria na Kanuni za Kodi. Tujadili kwa manufaa ya Taifa

    Nimefurahishwa na hatua ya Rais ya kuunda Tume ya Kutathmini na kushauri kuhusu masuala ya kodi,yaani" Presidential Commission on Tax Reforms" nchini. Ninayo maoni na ushauri wa jumla kama ifuatavyo: 1. Jamii Forums itumike kuratibu maoni na ushauri mbalimbali unaotolewa na wana JF kuhusu...
Back
Top Bottom