Tukomae, Tupambane, ni mwendawazimu pekeee ambaye anaweza ku normalize Mauaji ya Oktoba 29, na kukaa na Samia, na kupiga Picha eti 'Tumeyamaliza'.
Vijana waliuliwa kwa Risasi za Kivita , Snipers walipasua watu Vichwa vyao, bongo za Vijana zilimwagwa .
Watanzania Msikubali kabisa Huo Upuuzi...
Ahadi ni deni. Tena ahadi inayohusu masuala ya msingi ya kitaifa.
Taifa linahitaji katiba mpya. Alitambumbua kabisa moja ya sababu zilizosababisha vurugu ni wananchi kutaka katiba mpya.
Sasa hiyo ahadi imeyeyuka mithiri ya barafu. Siku 100 zimekuwa siku 4000.
Naona kama amekuwa na kauli nzuri zenye mlengo wa kutetea maslahi ya watumishi.
Hasa viongozi na wakuu wa idara ambao wamevimbiwa madaraka na kuwa wanazuia watumishi kuhama wakati ni haki yao.
Naona tangu filling station za Lake oil tangu zichomwe amekuwa na busara sana.
Naona kuna dalili kubwa kuwa taifa letu lina hali mbaya sana maana Usa na mataifa ya magharibi wamelitupa.
Kukimbila kuwa karibu na Urusi kunaweza kuwa msaada kwa taifa hili ambalo mpaka sasa limechafuka dunia nzima kwa kuwa na serikali ambayo inatuhumiwa kuua watu ili ibaki madarakani?
Pia...
TAARIFA KWA UMMA
Kesho tarehe 1/6/2026 Mahakama Kuu Masijala ya Kigoma mbele ya Jaji Rwinzile itasikiliza maombi ya Marejeo (Judicial Review) yaliyofunguliwa na
1. Buberwa Ephraimu Kaiza
2. Joseph Daudi Mabugo
Maombi hayo yanahusu uhalali wa Tume iliyoundwa na Mh. Rais ya Kuchunguza Ujinai...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi , Dkt. Asha-Rose Migiro akifanya mahojiano na Crown Media ameeleza kuwa matukio ya vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025, yalishtua CCM
"Tutakumbuka kwamba tarehe 29 Oktoba ni tukio ambalo lilitushtua wengi, na sisi wana CCM tulishtuka zaidi...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa baada ya uchaguzi kuisha na Serikali ilichelewa kutoa taarifa ya matukio ya wakati na baada ya uchaguzi, na hata baada ya Serikali kuundwa na Rais kumtuma kwenda kutuliza mambo, kila nchi...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Vijana wa Tanzania kutokubali kutiwa maneno na kushawishiwa ili waharibu amani akiwasihi wailinde amani ya Taifa kwa kulindana wenyewe na kuambiana na kuhakikisha yaliyotokea October 29, 2025 hayatokei tena.
Rais Samia amesema hayo leo May...
Kwanza, ni muhimu kukumbuka kwamba chanzo cha matukio haya hakikuwa vurugu zenyewe, bali ni malalamiko ya muda mrefu ya wananchi yaliyokuwa yakijadiliwa wazi mitandaoni. Kulikuwa na ishara za kutosha kabla ya tukio, lakini badala ya mamlaka kusikiliza na kuchukua hatua za mapema, kulionekana...
Siwezi kupoteza muda wangu kwa kusikiliza vihoja vya Tume ya uchunguzi!
Hii repoti inaongeza hasira kwa wahanga. Ukiisikiliza kwa makini na zile key points inaoneka ilikuwa imeshiba,ila ukija kusikiliza unakuta kuna uhariri wa ripoti hivyo mimi nitakutana nayo katika magazeti au katika...
Wakuu,
Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Pasipo na shaka, kuwa matukio ya ghasia ya tarehe 29 Oktoba...
Vilevile mashahidi walioshiriki kufanya ghasia waliokuja mbele ya tume na kukiri kuwa baadhi yao walipewa simu maalum za mkononi na kupewa kazi ya kupiga picha na video za matukio.
kama vile majeruhi na vifo au kupiga picha jirani na magari ya jeshi la ulinzi sambamba na picha za maeneo...
Kesho Aprili 23 Inayojiita Tume ya uchunguzi wa Matukio ya uvunji wa amani na vurugu yalitokea Oktoba 29 inayoongozwa na Jaji Chande itatoa ripoti yake.
Watanzania wengi wameikataa tume hiyo tangu kuundwa kwake na Samia kwa sababu ipo kwenye lengo la kuitetea serikali na Vyombo vya ulinzi na...
Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais Samia Suluhu.
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman Chande, wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 21, 2026 katika ofisi za Tume jijini Dar es...
KATIBU wa Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa, Sheikh Hassan Said Chizenga, ameongoza dua maalumu ya kuiombea Tume ya Matukio ya Oktoba 29, akisisitiza umuhimu wa haki, uwazi na maridhiano katika mchakato mzima kuelekea ripoti ya tume hiyo.
Dua hiyo inalenga kuiombea Tume iweze kutekeleza majukumu...
Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo amesema ana matumaini makubwa na Tume ya Jaji Chande inayochunguza Matukio ya Vurugu wakati na NA baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
CHUNGUZ Imani na matumaini ya Doyo kwa Tume hiyo yanatokana na ukweli kwamba Tume imesheheni watu Muhimu wenye ubobevu na...
Mchambuzi wa masuala ya siasa na diplomasia, Dennis Muchunguzi, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Aprili 13, 2026, amesema si sahihi kuanza kutoa hukumu au kuzusha taarifa zisizo na msingi kuhusu ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio Oktoba 29 wakati bado...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema kuwa tume hiyo haiingiliwi katika maamuzi yake wala haina dalali yeyote katika utekelezaji wa shughuli zake, na kuwa tume hiyo ipo huru.
Jaji Chande ameyasema hayo leo, Aprili 08, 2026, alipokuwa...
Hili ndilo swali linalobeba kiini cha wasiwasi wa wengi kuhusu hatima ya mapendekezo ya Tume. Suala si kutolewa kwa ripoti pekee, bali ni nani atasimamia utekelezaji wake endapo mapendekezo yatagusa mamlaka ya waliounda chombo hicho.
Hapa ndipo mjadala wa uwajibikaji unakuwa mzito zaidi, ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.