Na safari hii mawaziri wamekomaa mpaka dakika ya mwisho hakuna kuachia ngazi. Huenda wanauhakika na walifanyalo.
Ninaamini kuwa DHAIFU is preparing a show down na bunge kwa kutokutekeleza maazimio yao,na hapo ndipo tutakapoona anguko la serikali hii kwani wabunge hawatakubali wananchi waendelee kuteseka kwa wafadhili kuendelea kukataa kutoa fedha zao. Kumbukeni kuwa Muhongo na Tibaijuka ni washikaji wa DHAIFU na ni partners katika kadhia hii!!
