Mbona nasikia Babro wanafunzi bado wanalipishwa 5m/ kwa mwaka? Mbona hawajapata unafuu baada ya kupokea 1.6b/? Na bado misaada ya fedha toka Sweden inayoingia shuleni hapo
Waingereza wana msemo "cut a coat according to the cloth na mwingine kuwa a chick picks what it can swallow" Ungeuliza board ya shule and the standards and quality walizojiwekea kuzifikia. School fees should reflect those standards na ulizia kama hiyo school fees had a component to retire the loan. Hayo ndio maswali yaliyoenda ya msingi