Prof. Tibaijuka: Nijiuzulu kwa lipi?

Prof. Tibaijuka: Nijiuzulu kwa lipi?

Kwani shule haina account bank?kwa nini pesa haikulipwa shule moja kwa moja?alivyozichota alipeleka wapi?aweke ushahidi

Binafsi naungana na huyu mama kuwa hana sababu ya kujiudhuru kwani kiasi kikubwa pesa ya Ruge ni khalali ma kalipa kodi,nijukumu la vyombo vya dola kufanya uchunguzi zaidi kama pesa alipeleka shule au ?
 
Yaweza kuwa ni kweli ilikuwa mchango wa shule. Swali langu in kuwa kwanini fedha haikuwekwa kwenye akaunti ya shule ikawekwa kwa account take binafsi?
 
Kwani kuna kosa hata kama alipewa yeye?Kwani kuna sheria yoyote inazuia mtu asipewe hela?HUYU ALITANGAZA KUPEWA HII NA ILIKUWA WAZI.NADHANI MAMBO HAYA YANA AJENDA NYINGINE.UKIFANYWA UCHUNGUZI WA KITAALAM NINA UHAKIKA HAWA WATU WALIOGAWIWA FEDHA HAWANA MAKOSA YA WAZI.HV KWA AKILI TU YA KAWAIDA UTAMWONDOAJE GAVANA NA MKURUGENZI WA TANESCO ALAFU UHANGAIKE NA WATU WALIOPEWA HELA AMBAZO BADO KUNA RUMU HAZIKUWA H9O ZA ESCROW.

Kwani yale maadili ya watumishi wa umma yalifutwa? Nafikiri kwenye listi ile ushughulikiwaji wake utatofautiana na wa baba Askofu...
 
Ninakumbuka katika mojawapo za hotuba za Nyerere aliwahi kusema,kiongozi ukitajwa tajwa au hata kuhisiwa umekula mali ya umma/rushwa basi jiuzulu kupisha uchunguzi.Sasa huyu mgonjwa Tibaijuka anasubiri nini?
 
Kisheria hana kosa, hakuna kitu kinachokukataza kumpa mwenzako billioni, watu wanasema ni fedha chafu lakini transaction zilipita BOT (Hela kuingia Mkombozi originally) na kama BOT hawakuona tatizo na TRA wakacalculate kodi yao ni vigumu kwa mtu wa kawaida kutilia shaka hizo pesa.
Tatizo ni muonekano wa haya mambo, yananuka rushwa au kujijengea upendeleo huko mbele, JK ana kazi.
 
senema kwisha kilichobaki sikilizeni uteuzi mpya utaotangazwa katibu mkuu kiongoz AG werema kuwa mkurugenzi mpya tume ya maadili prof muongo kuwa mkurugenzi bandari kumbuka nafas hii bado inakaimiwa sasa ni wakati wa kuijaza Eliakim maswi TRA kuwa mkurugenzi kitengo cha kodi za ndani prof bibi kuwa nwenyekiti wa bodi ya TANAPA kujaza nafasi iliyokua wazi kwa mda mrefu presedence Brandina nyoni David jairo. mama mwilima & dr Batrida burian

Ha ha ha ha. Unavituko sana wewe!
 
Yaweza kuwa ni kweli ilikuwa mchango wa shule. Swali langu in kuwa kwanini fedha haikuwekwa kwenye akaunti ya shule ikawekwa kwa account take binafsi?

Haja violate the constitution
 
Alipewa nafasi na CAG na PCCB kujitetea akaishia kuwaambia yeye amesoma sana amefanyakazi UN leo analialia kitu gani.
 
Amesema haoni kosa kutafuta mchango wa shule. Yeye alipokea fedha toka kwa Ruge ambaye na kodi alilipa amehoji kama ni fedha haramu inakuwaje TRA wamechukua mpaka kodi yake zaidi ya billion 30. Anasubiri mamlaka ya uteuzi ipime na kuamua. Haoni haja ya kujiuzulu. Amesema hayo akihojiwa na BBC
........Mkurugenzi moja wa CIA aliwahi kusema wakati akijiuzulu nafasi yake kwa kashfa ya kutembea na mke wa mtu kwa kusema "kujiuzulu kwake hakumaanishi tuhuma anazotuhumiwa kuwa ni za kweli, ila hata kile kitendo cha kutiliwa mashaka kwa nafasi aliyonayo kinatosha yeye kumfanya ajiuzulu" ....hapa bongo sasa, na ukiitwa profesaaa ndio kabsaaaaaa!!!!!! kuna mahala tumekosea kama taifa, hii ni laana
 
Mafisadi wanaujua udhaifuwa wa tezi dume ndo mana wamekuwa na jeuri ya kugoma kujiuzulu.
 
mchango wa shule 1.6 bilioni? mwizi tu wewe subiri uteuzi ufanyike mama ndo useme sijiuzuru
 
Hapo ndipo wabunge watafahamu kosa walilofanya la kuachia "mamlaka ya uteuzi" kufanya maamuzi! Hafanyi ng'o!
Sasa wangefanyaje?,hawana uwezo wa kuwafukuza,labda wangetaka kuvunja baraza lote wangempigia waziri mkuu kumtoa lakini nayo si guerentee kwani katika baraza jipya wanaweza kurudi hapohapo.
 
Kang,

Kama BoT hawakuona tatizo, ina maana hakuna tatizo? Wakati Wa EPA, BoT iliona tatizo? Jamani, tumesahau kabisa jinsi haya mafisadi yanavyo operate? Eti Ruge alilipa kodi, hivyo he is clean. Kweli? Hata uchunguzi tunaosema ufanyike, hautofanyika bila watawala kuamua kuwatosa baadhi ya wenzao. Vyombo vyetu vya uchunguzi, ikiwemo PCCB, Police, BoT, TRA, si huru kama mnavyotaka tuamini. The entire system is broken.
 
Clear and loud message kutoka kwa mafisadi to JK- thubutu! Tanzania itatikisika.
 
Back
Top Bottom