Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,444
- 100,740
Anna looks so confident, it seems there is a strong god-father behind her. Wait and see!!!!!!!!!!!!
Ni mijizi yote ya ccm ndio ilivyo, umesahau yule anayemaliza Tembo wetu
Anna looks so confident, it seems there is a strong god-father behind her. Wait and see!!!!!!!!!!!!
Masikini mama Tibaijuka, hajui kuwa hela aliyolipwa ilikuwa haramu from the start.Amesema haoni kosa kutafuta mchango wa shule. Yeye alipokea fedha toka kwa Ruge ambaye na kodi alilipa amehoji kama ni fedha haramu inakuwaje TRA wamechukua mpaka kodi yake zaidi ya billion 30. Anasubiri mamlaka ya uteuzi ipime na kuamua. Haoni haja ya kujiuzulu. Amesema hayo akihojiwa na BBC
Binafsi sina imani sana na jk katika suala hili, mpaka leo jk anasubiri nini kutekeleza maamuzi ya bunge? Hawa wahalifu kina muhongo, maswi na huyu tibaijuka bado wanakalia ofisi za umma ilhali wametuhumiwa, hili sio sawa kamwe!
Amesema haoni kosa kutafuta mchango wa shule. Yeye alipokea fedha toka kwa Ruge ambaye na kodi alilipa amehoji kama ni fedha haramu inakuwaje TRA wamechukua mpaka kodi yake zaidi ya billion 30. Anasubiri mamlaka ya uteuzi ipime na kuamua. Haoni haja ya kujiuzulu. Amesema hayo akihojiwa na BBC
kwani shule haina account bank?kwa nini pesa haikulipwa shule moja kwa moja?alivyozichota alipeleka wapi?aweke ushahidi
Unaambiwa kwenye akaunt ya shule zilikaa saa 48 tu zikatolewa na Bodi ya shule haijui chochote kuhusu hizo pesa.Kwani shule haina account bank?kwa nini pesa haikulipwa shule moja kwa moja?alivyozichota alipeleka wapi?aweke ushahidi
Kwani kuna kosa hata kama alipewa yeye?Kwani kuna sheria yoyote inazuia mtu asipewe hela?HUYU ALITANGAZA KUPEWA HII NA ILIKUWA WAZI.NADHANI MAMBO HAYA YANA AJENDA NYINGINE.UKIFANYWA UCHUNGUZI WA KITAALAM NINA UHAKIKA HAWA WATU WALIOGAWIWA FEDHA HAWANA MAKOSA YA WAZI.HV KWA AKILI TU YA KAWAIDA UTAMWONDOAJE GAVANA NA MKURUGENZI WA TANESCO ALAFU UHANGAIKE NA WATU WALIOPEWA HELA AMBAZO BADO KUNA RUMU HAZIKUWA H9O ZA ESCROW.
angeanza PM wote wangefuata maana wanajua hadi Profesa Tezi naye yumo sasa kwa nini kuonea dagaaUkifikiri kwa urefu na upana hili saga utaona kuwa safari hii watuhumiwa wamekuwa wagumu sana kuwajibika kulinganisha na kipindi cha nyuma yalipotokea maskendo. Hii INA"imply" kuwa walikuwa wanatekeleza maagizo toka mamlaka flani ambayo ina nguvu wakiwa wamehakikishiwa ulinzi!
Wananchi hawakutaki ....au anataka afungiwe nje ya ofisi ndio atambue kuwa hatakiwi?
Yaaani sijui wew una maslahi gani na hawa wezi wakubwa, muda wote ni kuwatetea tu. Muuaji mkubwa ww.
viongozi wa bongo ni wabishi sana kuwajibika wakishapata madaraka...
Wanataka kumpima raisi kama ni mjinga kama wao au la asha.