Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,488
- 33,681
Tumekuwa wagumu kweli kuwajibika,kuna kipindi dr slaa alituhumiwa kala hela ya chama,hakujiuzulu ng'o.........Mkurugenzi moja wa CIA aliwahi kusema wakati akijiuzulu nafasi yake kwa kashfa ya kutembea na mke wa mtu kwa kusema "kujiuzulu kwake hakumaanishi tuhuma anazotuhumiwa kuwa ni za kweli, ila hata kile kitendo cha kutiliwa mashaka kwa nafasi aliyonayo kinatosha yeye kumfanya ajiuzulu" ....hapa bongo sasa, na ukiitwa profesaaa ndio kabsaaaaaa!!!!!! kuna mahala tumekosea kama taifa, hii ni laana