Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,325
- Thread starter
- #221
Kuongezeka kwa eneo la bahari ni kwa manufaa ya wote Tanzania bara na Tanzania visiwani hakuna swala la Zanzibar na Tanganyika sababu ukileta maswala ya kufaidika? masai wa njiro anafaidika vipi na hilo swala kama unataka faida ya moja kwa moaja! Nyerere alisema ukianza kula nyama ya mtu hutoacha kamwe ndio kitu kinachowasumbua ndugu zetu wa zanzibar. Na siku ile alikuwa anawalenga wazanzibar moja kwa moja.
Unachosema ni sahihi kabisa. Lakin kitendo cha upande mmoja wa muungano kujichukulia madaraka ya kuusemea upande mwingine wa muungano pasi na kuwajuza na kuwashirikisha hilo ni kosa lisilo sameheka hata kidogo iwe kibinadam au hata kisheria.
Wanachohoji hapo Znz ni kutoshirikishwa katika mchakato mzima hususan BLW kwa jambo kubwa kama hilo la kuomba eneo la bahari la kuongeza.
sasa BLW linauliza Je Znz wanapata kiasi gani katika hilo ongezeko? nini maslah ya Znz hapo katika hilo ongezeko?.