kibosho munish
Member
- Dec 25, 2014
- 18
- 2
Arudishe basis hizo ela tuone naahakamani apelekwe
Aliyekuwa waziri wa ardhi na makazi wa Tanzania mh. Anna Tibaijuka anaitaka serikali kubadirisha utaratibu wa mbunge kutokuwa waziri ili wabunge waweze kuwahudumia wapiga kura wao badala ya kutumia muda mwingi kufanya kazi za serikali.
Wadau kama sio uchizi ni nn hiki au ndio kapagawa baada ya kufutwa kwake?
Hilo lilikuwemo ktk rasimu ya katiba mpya kwa wingi wao CCM wote walilipinga sasa imekuwaje baada ya kutolewa alione ni suala la msingi,hiyo inaonyesha kuwa CCM wengi wameburuzwa kumbe wana matakwa yao binafsi na sio kufuata matakwa ya chama hata kama huridhii.
Unawezakuona ni kwakiasi gani watu wa SIASA wanavyowafanya watu wasio jitambua km maPUNGUANI huyu na maGAMBA wenzie sindio walikuwa wanatoka miPOVU Bungeni kukataa mapendekezo ya WARIOBA leo anaongea uPUMBAVU sababu kapigwa chini....!
Aliyekuwa waziri wa ardhi na makazi wa Tanzania mh. Anna Tibaijuka anaitaka serikali kubadirisha utaratibu wa mbunge kutokuwa waziri ili wabunge waweze kuwahudumia wapiga kura wao badala ya kutumia muda mwingi kufanya kazi za serikali.
Wadau kama sio uchizi ni nn hiki au ndio kapagawa baada ya kufutwa kwake?
Hilo lilikuwemo ktk rasimu ya katiba mpya kwa wingi wao CCM wote walilipinga sasa imekuwaje baada ya kutolewa alione ni suala la msingi,hiyo inaonyesha kuwa CCM wengi wameburuzwa kumbe wana matakwa yao binafsi na sio kufuata matakwa ya chama hata kama huridhii.
Hili si limo kwenye maoni ya Watanzania kuhusiana na katiba mpya kama yalivyowakilishwa na Tume ya Warioba, kwanini hakulipigia debe wakati ule? Why now?
Aliyekuwa waziri wa ardhi na makazi wa Tanzania mh. Anna Tibaijuka anaitaka serikali kubadirisha utaratibu wa mbunge kutokuwa waziri ili wabunge waweze kuwahudumia wapiga kura wao badala ya kutumia muda mwingi kufanya kazi za serikali.
Wadau kama sio uchizi ni nn hiki au ndio kapagawa baada ya kufutwa kwake?
Hilo lilikuwemo ktk rasimu ya katiba mpya kwa wingi wao CCM wote walilipinga sasa imekuwaje baada ya kutolewa alione ni suala la msingi,hiyo inaonyesha kuwa CCM wengi wameburuzwa kumbe wana matakwa yao binafsi na sio kufuata matakwa ya chama hata kama huridhii.
Ilipofika hatua ya kupitisha katiba alisemaje alisema hapana au alisema ndiyooo katika ibara zote?.
acha porojo alisema wapi leta ushahidi ukiona mtu anamsifu mtu mchafu basi ujue yeye ni mchafu zaidi.
Watu hujifunza kutokana na makosa, hebu tujaribu kuwasikiliza watu wa aina ili tujifunze jambo. AISIFUYE MVUA IMEMNYEA.
usiwe chizi kipengele kimoja kati ya vyte ndio kikifany useme hapana
Well, kama alikuwa na msimamo huo lakini bado akapiga kura ya ndiyo bungeni bado ana nafasi, mshauri azunguke Tanzania nzima awashauri na wengine wapige kura ya HAPANA rasmu ya katiba pendekezwa asipofanya hivyo atakuwa mnafiki tu kama wanafiki wengine.mbona ndio msimamo wake toka bunge la katiba?/alichangia kipengele icho na akataka mawaziri wasiwe wabunge,tatizo lako sio mfatiliaji ila ni mshabiki wa matukio na siasa chafu,wewe una hila sana umekaa kaa kishirikina,wewe ni zaidi ya mwanga muuaji ,sumu unazo panda zitakurudia,acha unafiki