Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Tusiadiane wadau..
Kwa mujibu wa katiba yetu ya mwaka 1977 ni lazima mkuu,Ila kama katiba ya mzee warioba isingechakachuliwa ingekuwa sio lazima,
Na ukawa ndio kilikuwa kilio chao pamoja na maoni mengine mengi ya wananchi.