OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Ok, nilidhani karudia tena hiyo maneno kumbe ni memory lane!!!!Sio lazima iwe neno kwa neno, ila tafsiri ya alichosema aliporudi jimboni ndiyo hiyo.
Ok, nilidhani karudia tena hiyo maneno kumbe ni memory lane!!!!Sio lazima iwe neno kwa neno, ila tafsiri ya alichosema aliporudi jimboni ndiyo hiyo.
mimi nandharau kutokana na elimu yake.Mama angetulia tu sasa. Anajiaibisha bure , binafsi bado namheshimu kutokana na elimu yake. Ni mfano wa kuigwa , hongera sana mama
Yeye Asha Migiro na Meghji ndio walikuwa mstari wa mbele vilevile wakishadadia kura ya wazi dhidi ya kura ya siri,japokuwa ilikuja kuwaumbua mbele ya safari,lakini kwa kuwa hayuko tena kwenye system akiulizwa atasema kura ya siri ni bora.Kwa hili nitamsaidia Prof Tiba. Kwenye bunge la katiba, wakati akichangia aliunga mkono hoja ya mawaziri kutokuwa wabunge. Nilimsikia mwenyewe
Kesho akitangaza kujiunga na CHADEMA atageuka binaadam!
Huyo Mama Tiba muhurumieni jama kwani bado ana ile 'hungover' ya kutimuliwa Uwaziri...Wazungu wansema 'she is still in state of shock' na pengine anayo yazungumza hayajui wala hayatambui🙂
Hii inaonyesha jinsi gani watu wanavyo shindwa kutambua sheria za utumishi wa umma ya kuwa 'cheo ni dhamana..." Mama anaonyesha ameumia sana na kuna kila dalili kuwa na yeye ameamua kupambana (retaliate) maamuzi ya bosi wake yaani waswahili wanasema (wamemwaga kitoweo/mboga acha na yeye amwage ugali🙂 na 'liwalo na liwe"...Alianza mtoto mtu juzi sasa mama anaingia ulingoni🙂