Prof. Tibaijuka ashauri wabunge wasiwe Mawaziri!

Prof. Tibaijuka ashauri wabunge wasiwe Mawaziri!

Mama amevurugwa yaani tutaona na kusikia mengi ni kama vile yuko mahabusu anatiwa ule umeme kwa chini sasa maneno yanamtoka tu.
JK atathubutu kuwapeleka mahabusu hawa wezi wa pesa za umma wakati JK ameshapotosha kwamba pesa za Escrow siyo za umma.
 
Kwa hili nitamsaidia Prof Tiba. Kwenye bunge la katiba, wakati akichangia aliunga mkono hoja ya mawaziri kutokuwa wabunge. Nilimsikia mwenyewe

Ilipofika hatua ya kupitisha katiba alisemaje alisema hapana au alisema ndiyooo katika ibara zote?.
 
Mbona alisema haya kwenye bunge la katiba. Tatizo mijitu haifatilii mambo inaishia kuropoka tu.
acha porojo alisema wapi leta ushahidi ukiona mtu anamsifu mtu mchafu basi ujue yeye ni mchafu zaidi.
 
kama kweli anataka hivyo basi awaambie wananchi wake waungemkono rasimu ya katiba ya warioba maana amelijua hilo kabla ya vichwa vya ccm havijatiwa maji
 
Ilipofika hatua ya kupitisha katiba alisemaje alisema hapana au alisema ndiyooo katika ibara zote?.
wabunge wa ccm sana wanafiki mimi nikimkumbuka yule Mzee Kessy alivyokuwa anatetea serikali tatu lakini wakati wa kupiga ndo aliacha hoi
 
ndiyo maana huyu mama alifukuzwa na UN habitat, kumbe wenzetu walijua kuwa ni chizi!!!
 
Aliyekuwa waziri wa ardhi na makazi wa tanzania mh anna tibaijuka anaitaka serikali kubadirisha utaratibu wa mbunge kutokuwa waziri ili wabunge waweze kuwahudumia wapiga kura wao badala ya kutumia muda mwingi kufanya kazi za serikali.

Wadau kama sio uchizi ni nn hiki au ndio kapagawa baada ya kufutwa kwake?

Hilo lilikuwemo ktk rasimu ya katiba mpya kwa wingi wao ccm wote walilipinga sasa imekuwaje baada ya kutolewa alione ni suala la msingi,hiyo inaonyesha kuwa ccm wengi wameburuzwa kumbe wana matakwa yao binafsi na sio kufuata matakwa ya chama hata kama huridhii.
Kwa mara ingine nampongeza Mh Tibaijuka kwa kuliona hili. Hata hivyo hili si jukumu la serikali bali la kikatiba. Katiba pendekezwa bahati mbaya ililiondoa hili na Mh Tiba ulishiriki kuunga mkono kuondolewa kwake! Kumbe ukiwa nje ya serikali unafikiria vyema. Lakini pia ninaona tofauti kati ya maelezo yake ya matumizi ya zile fedha alizopewa na Bro. Rugemalira. Kwanza kasema zililipia deni la karibu billion mbili la shule. Sasa nasikia akiwa jimboni kwake kuwa lilisaidia kulipa ada za watoto wa kike wasiojiweza - ada ya shule hiyo ni Shillingi million inne kwa mwaka! Hivi shule ya kumkomboa mtoto wa kike wa kitanzania ada yake inatakiwa iwe hivyo au hiyo ni shule ya biashara!
 
Unawezakuona ni kwakiasi gani watu wa SIASA wanavyowafanya watu wasio jitambua km maPUNGUANI huyu na maGAMBA wenzie sindio walikuwa wanatoka miPOVU Bungeni kukataa mapendekezo ya WARIOBA leo anaongea uPUMBAVU sababu kapigwa chini....!

Mkuu, hivi kweli prof kaongea maneno haya? Siamini.
 
hawa walisema naafiki ibara zote kumi na vifungu vyote--------nasema ndiooooooooooooo inasikitisha sana halafu huyu mtu alishaanza kutajwa kwenye uraisi na inaonekana ingeletwa hoja ya raisi mwanamke.Kama wagombea uraisi hawana sifa tumpe uraia mmoja wa wagombea wa uraisi Kenya maana katika mdahalo waliofanya unagundua watano katika saba walioshiriki wanafaa kuwa maraisi.Mpaka sasa sioni raisi katika wanaofanyiwa chapuo humu JF
 
Mbona alisema haya kwenye bunge la katiba. Tatizo mijitu haifatilii mambo inaishia kuropoka tu.

Kama alipiga kura ya ndiyoo kwenye ibara zote anayoyaongea mitaani Ni ya kutafuta uhuruma kwa wananchi. Woo
 
Huyo mama anafrustration za kutemwa uwaziri, kichwa kimeruka baada ya kuvuliwa nguo hadharani na mkulu sasa anatapatapa.
 
Huyu mama kashavurugwa, huyu si ndio alikua akimuunga mkono sitta huku akidai tanzania inahitaji raisi dikteta? Kama kweri anayoyasema yanatoka moyoni, kipindi cha kura ya maoni apige kampeni ya kupinga katiba inayopendekezwa kwani inautaratibu amabao hauungi mkono. la sivyo tutajua ni kisirani tu. Najua 2015 hilo jimbo atalisikia kwanye bomba tu!
 
Huyu mama ni chizi.alikuwa mjumbe wa bunge la katiba.kwanini hakuyasema hayo kule?hizi ni njaa
 
Aliyekuwa waziri wa ardhi na makazi wa Tanzania mh. Anna Tibaijuka anaitaka serikali kubadirisha utaratibu wa mbunge kutokuwa waziri ili wabunge waweze kuwahudumia wapiga kura wao badala ya kutumia muda mwingi kufanya kazi za serikali.

Wadau kama sio uchizi ni nn hiki au ndio kapagawa baada ya kufutwa kwake?

Hilo lilikuwemo ktk rasimu ya katiba mpya kwa wingi wao CCM wote walilipinga sasa imekuwaje baada ya kutolewa alione ni suala la msingi,hiyo inaonyesha kuwa CCM wengi wameburuzwa kumbe wana matakwa yao binafsi na sio kufuata matakwa ya chama hata kama huridhii.

Source Please.
Haya ma CCM huwaga hayaamibi,ni kama kenge vile.
 
Mkuu, hivi kweli prof kaongea maneno haya? Siamini.

Mimi Watanzania mnanisononesha sana kumjadili huyu mpuuzi! Hivi Wizara ya Ardhi, tangu 2011 mpaka anatupiwa virago amefanya jambo gani moja tu la kukumbukwa katika TAIFA letu kama siyo Ufisadi? Huyu mama ni zaidi ya Jangiri anayeua tembo zetu. Ameambukiza mpaka kizazi chake kwa kupenda fedha ndiyo maana mtoto wake mmoja ametukana Watanzania wote kupitia tweeter baada ya Mama yake kutupiwa virago. Huyu mama ili mheshimiane huhitaji kuzungumza naye zaidi ya dakika 5 maana hizo dakika tano ukizungumza naye utafikiri ametoroka Hospitali ya Milembe.
Tuzungumzie MAENDELEO ya nchi NA siyo huyu fisadi.
 
Sizitaki MBICHI hizi?

Bwana alitoa na ametwaa. Sijutii maamuzi ya raisi.Nimepata muda mzuri wa kulitumikia jimbo langu la uchaguzi.Binti yake katuambia "*** all" mara naona wabunge wasichaguliwe mawaziri. Kote huko ni kutapatapa. Alikuwa mjumbe wa katiba mpya na rasimu ya Warioba ilipendekeza hivyo hivyo kuwa waziri asitokane na mbunge wao ndio waliopinga kwa nguvu zote. Tatizo la viongozi wengi wa ccm bado hawajui kuwa wananchi wa leo wana uelewa mpana wa mambo yanayowahusu tena kuliko viongozi wanaowaongoza na wanafuatilia michango ya wabunge wote bungeni. Yeye atulie asubiri hukumu ya wapiga kuta wake 2015.
 
Ha ha ha maCCM yakiwa kwenye system yanakuwa vipofu yakitimliwa kwenye system yanajifanya Yana nacho ya kuona.

Ni kama Sumaye. Hakujua madhara ya rushwa enzi za utawala wake mpaka msala ulipomkuta. Akiwa waziri mkuu alikuwa kahonga RCs na DCs wote. Sasa hivi ndo anashupalia rushwa.
 
Back
Top Bottom