usiwe chizi kipengele kimoja kati ya vyte ndio kikifany useme hapana
No No Prof Tibaijuka huku ni kujidhalilisha kwa hali ya juu!
Ulikuwa na all time and opportunity you can imagine in this world kuyasema haya kwenye BMK. Lakini wewe na ma-CCM wenzako mkaikataa rasimu ya Warioba iliyokuwa imependekeza mawaziri wasiwe wabunge!
Ndiyo maana watanzania wanaona CCM kama a MENTAL DISEASE, Once you're in CCM you can't think properly, STD VII. Lusinde na wewe Professor mnakuwa same level of thinking.
But you still have only one chance, if you real believe on currently what you're talking.
Wahamasishe wananchi wako wa Jimbo la Muleba waikatae katiba pendekezwa inayotaka mawaziri wawe wabunge. The ball is in your court honorable Prof Tibaijuka
....... huyu mama amesema kitu na kuna siri hapo...sas ifanyieni kazi hiyo siri,jiulize imekuwaje sasa huyu mama anaseam hayo?Aliyekuwa waziri wa ardhi na makazi wa Tanzania mh. Anna Tibaijuka anaitaka serikali kubadirisha utaratibu wa mbunge kutokuwa waziri ili wabunge waweze kuwahudumia wapiga kura wao badala ya kutumia muda mwingi kufanya kazi za serikali.
Wadau kama sio uchizi ni nn hiki au ndio kapagawa baada ya kufutwa kwake?
Hilo lilikuwemo ktk rasimu ya katiba mpya kwa wingi wao CCM wote walilipinga sasa imekuwaje baada ya kutolewa alione ni suala la msingi,hiyo inaonyesha kuwa CCM wengi wameburuzwa kumbe wana matakwa yao binafsi na sio kufuata matakwa ya chama hata kama huridhii.
Aliyekuwa Waziri wa Nyumba, Ardhi na Maendeleo ya Makazi Prof Anna Tibaijuka ameibuka na kusema Mbunge anapokuwa Waziri kama ilivyo sasa, anakuwa anafanya kazi za kuitetea Serikali badala ya kuisimamia.
Mbunge huyo wa jimbo la Muleta Kusini amesema pia anakosa nafasi ya kuwatumikia ipasavyo wananchi wa jimbo lake ambao ndio wamemchagua kuwasilisha matatizo yao Serikalini kwa ajili ya utatuzi.
Prof Tibaijuka ameibuka baada ya kuvuliwa wadhifa wake wa uwaziri na Rais Jakaya Kikwete kufuatia kupokea Bil 1.6 kutoka kwa James Rugemalira kinyume na masharti ya maadili kuhusu zawadi kwa mtumishi wa UMMA.
Prof Tibaijuka amesema sasa amerudi jimboni kwake Muleba Kusini kuwatumikia Wananchi. Amesema moja ya changamoto ambayo alikumbana nayo alipokuwa Waziri ni kuwa hakupata muda wa kutosha kuwatumikia Wananchi wa jimbo lake.
Muda mwingi alikuwa analazimika kufanya shughuli za Serikali badala ya kuisimamia Serikali ili itekeleze mahitaji ya wananchi wa jimbo lake kwa wakati. Hivyo kwa kuwa sasa yeye sio Waziri tena, basi anao muda wa kutosha kutatua kero za wananchi.
Ikumbukwe jambo hili la Mawaziri wasitokane na Wabunge lilipendekezwa kwenye rasimu ya pili ya katiba iliyokuwa imewasilishwa bungeni na iliyokuwa tume ya Katiba chini ya aliyekuwa Mwenyekiti wake Jaji Joseph Warioba.
Hata hivyo jambo hilo lilipingwa na bunge la katiba, na wengi waliopinga pendekezo hilo ni wabunge wa Chama cha Mapinduzi akiwemo Prof Anna Tibaijuka.
Sasa ni jambo la kushangaza kumuona Prof
Tibaijuka leo anatoa kauli hiyo wakati alipokuwa kwenye bunge la katiba hakusema chochote na alipiga kura ya ndio vipengele vyote vya katiba iliyopendekezwa.
Akiongea na Raidio One Sterio, Prof. Tibaijuka amesema kuna umuhimu wa serikali kubadilisha mfumo; yaani Waziri asiwe Mbunge ili mbunge aweze kuwatetea watu wake. Amesema mfumo wa Mbunge kuwa Waziri umewafanya Mawaziri kutetea serikali badala ya wananchi
View attachment 214343
Akiongea na Raidio One Sterio, Prof. Tibaijuka amesema kuna umuhimu wa serikali kubadilisha mfumo; yaani Waziri asiwe Mbunge ili mbunge aweze kuwatetea watu wake. Amesema mfumo wa Mbunge kuwa Waziri umewafanya Mawaziri kutetea serikali badala ya wananchi
View attachment 214343