Prof. Tibaijuka akanusha kupokea Bilion 1.6 kutoka kwa James Rugemarila

Kipindi kile alisema ilikuwa ni hela ya mboga tu., asitake kutuchafua tena Rugemalila kesi yake tunajua ilivyokuwa inaendeshwa.,
Nimemuona ni mtu mnafiki sana, na pia ni muongo mkubwa! Ebu cheki kauli zake hizo hapo chini achilia mbali uongo wake kuwa hakuwahi kuzipokea hizo pesa tena akiziita kuwa ni za mboga!

Wakati wa Maghufuli alipozirudisha alisema hivi…

“Msamaha wa Rais unapotoka ni fursa adimu, sasa fursa ukiichezea utabaki kujuta mwenyewe, kwa upande wangu na shule, sisi tunashughulika na ule mchango tulioupokea tunaurudisha mezani” amesema profesa Tibaijuka.

Sasa hivi wakati wa Hangaya anasema hivi…

Prof Anna Tibaijuka amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumuachia huru mfanyabiashara James Rugemalila.
 
Huo wote ni ukoo wa kifisadi tu hana lolote la kuwafanya watanzania wamwamini tena
Tanzania anaefungwa jela ni kibaka sababu hana pesa ya kumpa hakimu, fisadi afungwi atalipa faini kiduchu au zuga ya miaka mbuzi jela
 
Waliojazana kule ni vibaka tu
Hii nchi ngumu Sana.Hata magu aliwafunga wasiotaka kumsujudia lakini angekuwa na nia ya kupambana na mafisadi Hakuna angebakia mtaani.Huwezi ukapambana na ufisadi ukiwa fisadi.Joka la makengeza KILA dili kubwa limo sababu linajua udhaifu wa sheria zetu hazina uwezo wa kufunga fisadi.
Zikikutembelea nyooka nazo.
 
.....hivi maprofessor wa ulaya wana tabia chafu za uwongo kama hawa wa Tanzania? Nachoka sana..wanatia kinyaa hawa wa TZ
 
Sasa kosa lake nini Tibaijuka kama Rugemalira alionewa na chuki za Magufuli?

Kama ni Rugemalira alionewa na Magufuli na chuki za mtesi Magufuli basi na Tibaijuka hakuchukua pesa yoyote, simple logic.
 
Nimemuona ni mtu mnafiki sana, na pia ni muongo mkubwa! Ebu cheki kauli zake hizo hapo chini achilia mbali uongo wake kuwa hakuwahi kuzipokea hizo pesa tena akiziita kuwa ni za mboga!

Wakati wa Maghufuli alipozirudisha alisema hivi…

Sasa hivi wakati wa Hangaya anasema hivi…
Sasa kosa lake nini Tibaijuka kama Rugemalira alionewa na chuki za Magufuli?

Kama ni Rugemalira alionewa na Magufuli na chuki za mtesi Magufuli basi na Tibaijuka hakuchukua pesa yoyote, simple logic.
 
Sasa kosa lake nini Tibaijuka kama Rugemalira alionewa na chuki za Magufuli?

Kama ni Rugemalira alionewa na Magufuli na chuki za mtesi Magufuli basi na Tibaijuka hakuchukua pesa yoyote, simple logic.
Bunge liliweka azimio escrow wakamatwe
 
Prof Anna Tibaijuka Amesema Tetesi za Kupokea kiasi cha Pesa Bilioni 1.6 Kutoka kwa Mfanyabiashara James Rugemarila ilikuwa Uongo na ndio maana kesi imeshindwa kusogea mbele kwa kuwa hakuna Mashahidi wa kwenda kuzungumza Mahakamani

Tibaijuka, Waziri wa zamani wa Nyumba, Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwenye mahojiano ambayo yamefanywa na @charles_william 2 pamoja na @officialzungu_ katika kituo cha Wasafi Tv.

Prof Anna Tibaijuka amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumuachia huru mfanyabiashara James Rugemalila.
Haya mwambie tumemsikia atulie azeeke vema.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hivi hawa watu huwa wanatuona wajinga au wanajua hatuna kumbukumbu?? Maelezo yake wakati wa hilo sakata ni kuwa fedha hizo zilitoleea kama msaada kwa shule ya Barbara Johanson na kuwa hazikwenda mfukoni kwake!!

Leo anasema hazikupokelewa kabisa eti kwa kuwa tu kesi imeshindwa kuendelea!!

Katiba mbovu hii inampa madaraka mtu aliye muhimili mwingine kumwachia mtuhumiwa huru. DPP hakutaka kuendelea na kesi, leo anashukuriwa Rais kwa kumwachia!! Mambo haya yakiendelea hatufiki popote!
 
Back
Top Bottom