Prof Sospeter Muhongo: LEO BUNGENI DODOMA (Mipango, Uwekezaji na Bajeti 2025/2026)

Prof Sospeter Muhongo: LEO BUNGENI DODOMA (Mipango, Uwekezaji na Bajeti 2025/2026)

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,428

Prof Sospeter Muhongo: LEO BUNGENI DODOMA (Mipango, Uwekezaji na Bajeti 2025/2026)

Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo amechangia mengi yakiwemo:

*Uwekezaji uongezeke kwenye Elimu na Taasisi zake (2-3% ya Pato la Taifa, GDP)

*Uwekezaji uongezeke kwenye Utafiti na Ubunifu, R&D&I (1-2% ya GDP)

*Uchumi ukue kwa kasi ya zaidi ya 8-10% kwenye sekta mbalimbali zilizowekwa kwenye mafungu (sectors: primary 55% GDP, secondary 30% GDP & tertiary 10%GDP)

Tafadhali msikilize Prof Muhongo kutoka kwenye CLIP/VIDEO iliyoambatanishwa hapa.

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz

P. O. Box 6
Musoma

Tarehe:
Jumatatu, 16 June 2025​

 

Attachments

  • WhatsApp Video 2025-06-16 at 14.56.05.mp4
    21.1 MB

Prof Sospeter Muhongo: LEO BUNGENI DODOMA (Mipango, Uwekezaji na Bajeti 2025/2026)​

Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo amechangia mengi yakiwemo:​

*Uwekezaji uongezeke kwenye Elimu na Taasisi zake (2-3% ya Pato la Taifa, GDP)​

*Uwekezaji uongezeke kwenye Utafiti na Ubunifu, R&D&I (1-2% ya GDP)​

*Uchumi ukue kwa kasi ya zaidi ya 8-10% kwenye sekta mbalimbali zilizowekwa kwenye mafungu (sectors: primary 55% GDP, secondary 30% GDP & tertiary 10%GDP)​

Tafadhali msikilize Prof Muhongo kutoka kwenye CLIP/VIDEO iliyoambatanishwa hapa.​

Ofisi ya Mbunge​

Jimbo la Musoma Vijijini​

www.musomavijijini.or.tz

P. O. Box 6​

Musoma​

Tarehe:​

Jumatatu, 16 June 2025​

Wazo zuri sana,shida yetu utekelezaji, tukisema no reforms tunsonekana wasaliti!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom