Prof. Shivji Issa: Nipo nchi gani; baharini au barani?

Prof. Shivji Issa: Nipo nchi gani; baharini au barani?

Mwalimu Nyerere alisema, Nchi isipoongozwa na sheria wananchi wake hukosa kujua kesho kutatokea nini.

The days of Shivjis' legal and political analysim have been replaced by top-down-no-discussion orders.
 
Wazee wenzie wamepumzika..ye bado anajifanya kukomaa..lazima ayaone hayo anayoyaona..
 
Wataalam hebu mtudadavulie alikuwa anamaanisha nini huyu msomi.View attachment 906151
Hawa wazee wanajitoa ufahamu, wenyewe wameiharibu Nchi kwa kujaza watoto na ndugu zao wasio na uwezo sehemu nyeti zinazoitaji watu makini na wenye vipaji husika kulipaisha Taifa . Wenye nchi yao kwa uhalisia wapo huku bench. Wengine wamekata tamaa wamekuwa walevi kwa sonona.
 
Prof. Ameanza kujitambua tena, hapo katikati alikuwa amevimbewa
Kwa walio karibu naye wamjulishe yupo kati kati ya bahari na chombo ndio kina zama hivyo akigusa maji ata zama na kufa nyangumi wengi wenye njaa wamezunguka chombo ata juwa mwenyewe kama ata ota mbawa aruke atajuwa yeye mwenye!
Aimbe ule wimbo wao wameipenda wenyewe ndiiiiiiiiii chaguo lao wenyewe ndiiiiii!!
 
Profesa uko nchi ileile, yenye watu walewale, wanaoongozwa na viongozi walewale ila (wenye malengo tofauti) na uliyoyazoea, karibu Tanzania ya viwanda profesa
 
Nilidhani Tanzania hakuna uhuru wa kujieleza!

Sasa huyu babu Shivji kaandika hiyo mistari yake akiwa wapi? India?
 
Usikute kapenyezewa habari waliomteka MO ni wahuni wa magogoni(wanajiita wazungu wawili)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom