Prof. Shivji Issa: Nipo nchi gani; baharini au barani?

Prof. Shivji Issa: Nipo nchi gani; baharini au barani?

Unajua professor asijifanye yeye ndio msomi pekee hapa nchini. Tunao wasomi wengi wanaoweza kututafsiria ana maanisha mini.
Mimi binafsi naanza na wale nawaamini sana ambao bila kujali nyazifa zao lakini wana usomi mkubwa kiwango cha Phd.
cc; Dr Kitila Mkumbo, Wizara ya maji
cc; Dr Benson Banana, UDSM
cc; Dr JPM, Tanzania
Benson???
 
Halafu wasomi wa nchi hii walivyo wanafiki huwezi kuona wanakemea udhalimu unaotendwa na serikali dhidi ya wananchi wake
Wakikemea watapata wapi vyeo, hujui kuwa wasomi wa nchi hiihawawezi kuendesha hata biashara genge la nyanya kwa ufanisi??

Wanasoma maPhd, uprofesa na ngazi mbali mbali lkn wasipoajiliwa wala kuteuliwa vyeo hawawezi lolote.
 
Depression at its pick walahi
Antidepressants lazima apatiwe haraka walahi
Dawa ya uzeeeeeeee walahi
Depression, manic- depression disorder, hallucinations, dellussions, grandiosis, Schnider = overt schizophrenia, passed schizoid stage.

Hitimisho: Kamuone Daktari wa binadamu!
 
Wataalam hebu mtudadavulie alikuwa anamaanisha nini huyu msomi.View attachment 906151
Prof hali sio wala usidhani unaota ndio yaliopo hata mimi nilikuwa nimeanza kufurahi lakini nimekatishwa tamaa haswa kwenye swala la haki nguvu inatumika kubwa kupokonya haki na kupaza propaganda niabu sana lazima prof ushangazwe
 
Unajua professor asijifanye yeye ndio msomi pekee hapa nchini. Tunao wasomi wengi wanaoweza kututafsiria ana maanisha mini.
Mimi binafsi naanza na wale nawaamini sana ambao bila kujali nyazifa zao lakini wana usomi mkubwa kiwango cha Phd.
cc; Dr Kitila Mkumbo, Wizara ya maji
cc; Dr Benson Banana, UDSM
cc; Dr JPM, Tanzania
KADA wa wasiojulikana.....,Neno limekuchomaa.........,mmezoea kusifiwa na kuungwa mkono tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom