Prof. Shivji Issa: Nipo nchi gani; baharini au barani?

Kajole

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
1,667
1,642
Wataalam hebu mtudadavulie alikuwa anamaanisha nini huyu msomi.

Mara nalia mara nacheka, mara nahuzunika mara nafarajika, mara naota mara nawaza, mara nafurahi mara najuta, mara nashangiliwa mara nazomewa, wahenga mnisaidie niko wapi, nchi gani baharini au barani ardhini au mbinguni, wahenga mnieleze nasumbuliwa na nani, majambazi au majamedari?
FB_IMG_15401276191887824.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom