Prof. Shivji Issa: Nipo nchi gani; baharini au barani?

Prof. Shivji Issa: Nipo nchi gani; baharini au barani?

Prof hapo ulipo Kwa kweli hata hatuelewi kama ni salama ama hatarini. Sehemu ambayo gari kutoka nchi ya jirani inaingia na kufanya uhalifu pasi vyombo vya usalama kuitambua. Na wahalifu wako at large mpaka sasa
 
IVI SERIKALI NDIO HAISHUGHULIKI TENA NA HAWA MAGAIDI WATEKAJI ?
Mo karudi
Game over !??
Sijasikia yale mapovu "TUTAWASAKA POPOTE NA KUWASHUGHULIKIA"
yaani piece piece kwa hawa the mafia
kama wanapendwa fulani hivi..
 
Nadhan alipo si salama kwake


Kama hakuna salama kwa tajiri kama MO , sembuse sie makapuku wa mtaani!! Ndio maana watu wanauawa na kutupwa baharini kwenye viroba halafu SIRRO anasema wametoroka na kwenda kutafuta maisha sehemu nyingine bila familia zao kujua!!! What a stupid explanation from the top policeman!!
 
Prof hapo ulipo Kwa kweli hata hatuelewi kama ni salama ama hatarini. Sehemu ambayo gari kutoka nchi ya jirani inaingia na kufanya uhalifu pasi vyombo vya usalama kuitambua. Na wahalifu wako at large mpaka sasa
Unajua professor asijifanye yeye ndio msomi pekee hapa nchini. Tunao wasomi wengi wanaoweza kututafsiria ana maanisha mini.
Mimi binafsi naanza na wale nawaamini sana ambao bila kujali nyazifa zao lakini wana usomi mkubwa kiwango cha Phd.
cc; Dr Kitila Mkumbo, Wizara ya maji
cc; Dr Benson Banana, UDSM
cc; Dr JPM, Tanzania
 
Prof. Ameanza kujitambua tena, hapo katikati alikuwa amevimbewa
Ndio maana unaona mistari hiyo.
Na sio yeye pekee aliyechanganyikiwa na mkoroganyo huu usioeleweka.
Mara mtu unapata matumaini, baadae kidogo unakatishwa tamaa yote ya uliyodhani nchi inaelekea.
Lakini sasa wenye ufahamu, kama alivyoonyesha professa mashaka yote yameondoka. Nchi inaelekezwa mrama.
 
Unajua professor asijifanye yeye ndio msomi pekee hapa nchini. Tunao wasomi wengi wanaoweza kututafsiria ana maanisha mini.
Mimi binafsi naanza na wale nawaamini sana ambao bila kujali nyazifa zao lakini wana usomi mkubwa kiwango cha Phd.
cc; Dr Kitila Mkumbo, Wizara ya maji
cc; Dr Benson Banana, UDSM
cc; Dr JPM, Tanzania
Huyu wa mwisho hatujaona machapisho ya PhD yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom