Prof. Safari na Prof. Mkumbo ndani ya EATV usiku huu

list of shame cdm wakatae tu, watapata wakati mgumu sana kuisemea hasa wakati huu mhusika mkuu dr slaa yuko pembeni

Kuongelea list of shame majukwaani ni kujipoteza muda. Dr Slaa aliiongelea sana 2010 na haikumpa kura za kutosha. Watanzania wataka uwaambie watapata wapi mlo ujao. Na kosa kubwa sana watakalofanya CCM mwaka huu ni kuing'an'gania hoja ya ufisadi jukwaani. Ugumu uko kwa CCM kuwaelezea watu watawafanyia nini na kwanini hawajafanya hicho wanachoahidi miaka yote waliokaa madarakani.
 
  • Thanks
Reactions: Pai

ni kujidanganya kusema kuwa hoja ya ufisadi haikuwa kete ya cdm kumteua dr slaa 2010 apeperushe bendera ya cdm.....wananchi wanajua ccm.wezi ndio maana maisha yamekuwa magumu....na aliewaambia hivyo ni cdm.
 
Kuongelea list of shame majukwaani ni kujipoteza muda. Dr Slaa aliiongelea sana 2010 na haikumpa kura za kutosha. Watanzania wataka uwaambie watapata wapi mlo ujao. Na kosa kubwa sana watakalofanya CCM mwaka huu ni kuing'an'gania hoja ya ufisadi jukwaani. Ugumu uko kwa CCM kuwaelezea watu watawafanyia nini na kwanini hawajafanya hicho wanachoahidi miaka yote waliokaa madarakani.

ila nawashangaa sana "wana mageuzi" ambao hamtaki kuamini kua hii kete ya ufisadi mlioushupalia na ikawapandisha chati vya kutosha c.cm inaweza kuitumia na ikawaleteeni damage kubwa sana kwenye macho ya wapiga kura na watapata nguvu sana hasa baada ya makamanda wenu wawili kujiweka pembeni... msijiamini sana miezi miwili ni mingi sana kwenye kampeni ndugu zangu
 
Dr. Kitilla, hi I tabia ya kuita wenzao tena wasomi Kuwaita wanna siasa za majitaka, yaani Yale ya chooni, siyo tabia ya wasomi kama wewe. Katika kipindi cha siasa na siaa.cha ITV bado anarudia maneno hayohayo aliyokaririshwa na Zito, kama yenye in mnyiraba hajui kwa kiswahili Mani taka yana maana gain, Aache kuyatumia. Anatutia hasira sana. Kama hajui nini Mani taka akaulize wazee wenye lugh a yao.Anakera na anatia Basra sanasana
Hawezi kuacha kuyatumia wakati uhalisia hawa watu wanafanya siasa za majitaka, siasa za kuwapaka wenzao uchafu. Mfano mnzuri ni Lowassa ni wao kama Chadema ndio waliomchafua kwa asilimia 98. Leo hii wanakula matapishi yao.
 
Mkumbo kabaki kutema tema maneno majigambo lakini bad planner act imedororea naye anaiweka eti kwenye level ya chadema abaki na usaliti wake kashindwa kuuwa chadema akiwa ndani itakuwa sasa muziki wake mgumu
 
ila nawashangaa sana "wana mageuzi" ambao hamtaki kuamini kua hii kete ya ufisadi mlioushupalia na ikawapandisha chati vya kutosha c.cm inaweza kuitumia na ikawaleteeni damage kubwa sana kwenye macho ya wapiga kura na watapata nguvu sana hasa baada ya makamanda wenu wawili kujiweka pembeni... msijiamini sana miezi miwili ni mingi sana kwenye kampeni ndugu zangu
damage gani mtu kaelezea kila kitu kilivyokuwa kitakachofanyika ni kuwaeleza wananchi jinsi Kikwete alivyojimilikisha Richmond
 
Kuongelea list of shame majukwaani ni kujipoteza muda. Dr Slaa aliiongelea sana 2010 na haikumpa kura za kutosha. Watanzania wataka uwaambie watapata wapi mlo ujao. Na kosa kubwa sana watakalofanya CCM mwaka huu ni kuing'an'gania hoja ya ufisadi jukwaani. Ugumu uko kwa CCM kuwaelezea watu watawafanyia nini na kwanini hawajafanya hicho wanachoahidi miaka yote waliokaa madarakani.

Hoja yako inafaa iingie kwenye vikao vya CCM.
 
ila nawashangaa sana "wana mageuzi" ambao hamtaki kuamini kua hii kete ya ufisadi mlioushupalia na ikawapandisha chati vya kutosha c.cm inaweza kuitumia na ikawaleteeni damage kubwa sana kwenye macho ya wapiga kura na watapata nguvu sana hasa baada ya makamanda wenu wawili kujiweka pembeni... msijiamini sana miezi miwili ni mingi sana kwenye kampeni ndugu zangu

Hao wapiga kura wanatoka mbinguni? maana kama ni hawa waliopo naona kama wameshadecide kama ni kubadilika kutakako tokana na kampeni ni kiasi kidogo sana na pia kubadilika huko ni both sides. Jambo kubwa hapa ni je watu watahamasika na kupiga kura?
 
Kumbe siko pekee yangu anaenyanyaswa na familia yake linapokuja suala la nini na chanel gani kiangaliwe kwenye Tv sasa .tena bora wewe vi tamthilia unaweza ukapiga jicho now and then baba mie familia yangu wakiongozwa na diktera mke wangu wanaweza wakaniondokea na kuchkuch hotae mpaka naingia wazimu naenda kunywa juice ya pilipili!

Hahahahahahhahahahahahahaha Mkuu umeua
 
Kuongelea list of shame majukwaani ni kujipoteza muda. Dr Slaa aliiongelea sana 2010 na haikumpa kura za kutosha. Watanzania wataka uwaambie watapata wapi mlo ujao. Na kosa kubwa sana watakalofanya CCM mwaka huu ni kuing'an'gania hoja ya ufisadi jukwaani. Ugumu uko kwa CCM kuwaelezea watu watawafanyia nini na kwanini hawajafanya hicho wanachoahidi miaka yote waliokaa madarakani.

we jamaa ni vipi? haikumpa kura za kutosha wakati imeshusha ushindi wa c.cm kutoka asilimia themanini mpaka asilimia sitini?? anyway kama kuamini hivyo kunakupa furaha basi endelea na imani hiyo ila itabakia kuwa superficial tu haiwez kuwa na mizizi
 
:ballchain:
Anasema EL amekuja ukawa kufanya kazi maalumu ya kuisambaratisha ukawa...
Mkuu kama ndo hivyo,ccm hatuna haja ya kuendelea kununua shahada za wapiga Kura.tusherehekee tu maana ushindi unakuja
 
ila nawashangaa sana "wana mageuzi" ambao hamtaki kuamini kua hii kete ya ufisadi mlioushupalia na ikawapandisha chati vya kutosha c.cm inaweza kuitumia na ikawaleteeni damage kubwa sana kwenye macho ya wapiga kura na watapata nguvu sana hasa baada ya makamanda wenu wawili kujiweka pembeni... msijiamini sana miezi miwili ni mingi sana kwenye kampeni ndugu zangu
Mkuu wakati huo watu wengi hawakuwa wakijua kama ccm inawadanganya na Kuwa ndiyo mzazi na mtunzaji wa mafisadi na wahujumu uchumi.unakumbuka nini kilitokea wakati wa Escrow.kwa sasa watanzania wanaoiamini ccm wanahesabika,watanzania sasa wanajua Kuwa ccm ndiyo sababu ya umasikini wao.
Je ccm inaweza kusimama hadharani na kusema Lowasa ni Fisadi? Au itawaambia Ukawa walikuwa wanatudanganya Kwamba ni mwizi wakati si mwizi?na je wakiulizwa kama Walitudanganya Kwamba Lowasa ni mwizi while si mwizi,je na kamati ya maadili ya ccm nayo ilidanganywa?maana mnasema mlimkata kwa kukosa maadili ni maadili gani hayo mnayoyasema
 
kwani waliomshikia bango kua ni fisadi ni c.cm ama ni hawa hawa c.dm? hakuna asietaka mabadiliko, ni basi tu hakuna mbadala mzuri kwa sasa.. na asingekatwa huyu jamaa unafikiri cc.m would have been in any better position? si awe hata rais wa t.ff kama shida ni kuitwa tu rais?
 
Kete ya ufisadi bado cdm wanaweza kuitumia kumbuka ufisadi siyo lowasa.Angalia malalamiko kura za maon ndani ya ccm,dini zipo kwasababu dhambi zipo.
 
Nilidhani ningeangalia hili kipindi pale kwenye bar ninayolinda, bahati mbaya nikahitajika kwenda kufanya lindo kwenye ofisi ya tarafa. Sijui nitakiona lini Tena.
 
Kete ya ufisadi bado cdm wanaweza kuitumia kumbuka ufisadi siyo lowasa.Angalia malalamiko kura za maon ndani ya ccm,dini zipo kwasababu dhambi zipo.

ma.vi yapite kooni !!! kwasasa c.dm hawana hizo guts ama uhalali wa kusimamia hiyo mkuu, ni chama ambacho vipaumbele vyake vinabadilikia angani kama yule mwenyekiti wao macho-ku-mchuz alivosema siku ile,,,
 
Back
Top Bottom