Prof. Safari na Prof. Mkumbo ndani ya EATV usiku huu

list of shame cdm wakatae tu, watapata wakati mgumu sana kuisemea hasa wakati huu mhusika mkuu dr slaa yuko pembeni
 
Wameunganisha uzi wang mm nilitaka kuwa update watu neno kwa neno
 
mkumbo anazungumza facts haongozwi na mahaba ya kisiasa kama cdm
 
Kitila:Lowasa lazima akubali kutubu kwa Watanzania kwamba alitenda dhambi akiwa kiongozi ili watanzania wamsehe au chadema warudi kwa watanzania na wawaambie kuwa list of shame ilikuwa na siasa tu na lowasa hahusiki na ufisadi...!!
 
Ushauri huu ukiufuata inakula kwako mazima
 
Kitila:Lowasa lazima akubali kutubu kwa Watanzania kwamba alitenda dhambi akiwa kiongozi ili watanzania wamsehe au chadema warudi kwa watanzania na wawaambie kuwa list of shame ilikuwa na siasa tu na lowasa hahusiki na ufisadi...!!

Prof. Safari anasema tusubiri kampeni.
 
list of shame cdm wakatae tu, watapata wakati mgumu sana kuisemea hasa wakati huu mhusika mkuu dr slaa yuko pembeni

Wananchi gani wanaoijua hiyo List of Shame? Wapiga kura wengi ni hawa wasiojua list of shame.Sioni ugumu wa UKAWA kumnadi Lowassa.
 
Back
Top Bottom