Prof. Safari na Prof. Mkumbo ndani ya EATV usiku huu

Prof. Safari na Prof. Mkumbo ndani ya EATV usiku huu

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,726
Profesa Abdallah Safari na Profesa Kitila Mkumbo wataunguruma ifikapo Saa 4:05 usiku huu kupitia East Africa TV. Usikose...

-Wameanza... Prof. Kitila anaongea sasa. Ni juu ya Lowassa kutoka CCM na kwenda Chadema...

-Lowassa hakuanza kukatwa Leo,tokea 1995

-Anaongelea pia kuhusu mkanganyiko wa kujiuzuru kwa Prof. Lipumba...

-Dk. Bana: wanaCCM waliyemtaka siye waliyepewa, hivyo wanatakiwa wajitafakari...

-Kitila: taswira ya ufisadi ya Lowassa ilikuwa ni ya CCM... Hata Magufuli ana tuhuma...
Prof kitila anaongea sasa
Eatv,

Kitila anasema ccm ilikiuka kanuni na mh Rais alikuja na majina matano toka kikao cha maadili

Kitila; anamshukuru Lowasa kwa kukomesha ubabe wa ccm maana hata Malecela alikuwa na wafuasi wengi 1995 alikatwa

Kitila; kukaktwa kwa lowasa ni chuki dhidi yake
 
Kumbe huyo Mkumbo hana akili timamu, eti lowasa ndo amesababisha katiba ya ccm ikapita? kweli? Huyu jamaa heshima yake inashuka.
 
Kitila: Lowasa hakuanza kukatwa leo tokea 95
 
Kumbe huyo Mkumbo hana akili timamu, eti lowasa ndo amesababisha katiba ya ccm ikapita? kweli? Huyu jamaa heshima yake inashuka.

Unashangaa nini kwani hakuwemo kwenye bunge la katiba?
Je angepitishwa na ccm asingeisimamia na kuhakikisha inapita?
mkuu hilo liko wazi.
 
Kitila: Lowassa anakomesha ubabe wa ccm ni angalizo kwa mara nyengine mtu maarufu kwa makusudi kukatwa kwa ubabe
 
Prof kitila anaongea sasa
Eatv,

Kitila anasema ccm ilikiuka kanuni na mh Rais alikuja na majina matano toka kikao cha maadili

Kitila; anamshukuru Lowasa kwa kukomesha ubabe wa ccm maana hata Malecela alikuwa na wafuasi wengi 1995 alikatwa

Kitila; kukaktwa kwa lowasa ni chuki dhidi yake
 
Anasema EL amekuja ukawa kufanya kazi maalumu ya kuisambaratisha ukawa...
 
Back
Top Bottom