Prof. Safari na Prof. Mkumbo ndani ya EATV usiku huu

Prof. Safari na Prof. Mkumbo ndani ya EATV usiku huu

Kwel watanzania bado tuna safari ndefu sana hata yesu wala mtume sizan kama anaweza kututoa ktk fikra finyu namna hii by the way wewe sio level yang hata nusu interm of income nipo kazin and kwa taarifa yako I have been in marmo Sweden for 8 yrs kwa kujifunza kaz hii nayoifanya sa hv plz stop personal attacks narudia tena stop it

mkuu una udugu na gentamycne? manake wote nyie ni ma mr. misifa
 
Kipindi kilikuwa kizuri hakichoshi na kilikuwa cha kirafiki zaidi hoja za msingi zinatolewa bila kutoa mishipa huku kukiwa na ucheshi hapa na pale......Kitila anakuambia wao watapenya katikati ya ccm na ukawa ili kupata wabunge maana kw pombe na lowasa kupata mgombea urais mwingine wa kuwafunika ni ndoto

mkuu unafahamu au mwana jf yeyote anaefaham siku na muda ambao hua kinarudiwa kipindi hiki tafadhali? nilikimiss aisee watoto hapa waling'ang'ania kuangalia tamthilia s.tar tv nikashindwa kufanya udikteta
 
Kwel watanzania bado tuna safari ndefu sana hata yesu wala mtume sizan kama anaweza kututoa ktk fikra finyu namna hii by the way wewe sio level yang hata nusu interm of income nipo kazin and kwa taarifa yako I have been in marmo Sweden for 8 yrs kwa kujifunza kaz hii nayoifanya sa hv plz stop personal attacks narudia tena stop it

Ww kwa vyovyote utakuwa kitengo. Kukata watu.
 
Huyu jamaa hana Qualification za kuwa Associate Professor.
Kuna kipindi alipigwa chini U HoD eti mwana siasa wa CHADEMA baada ya kuunda ACT Wanafiki-amekuwa promoted cheo cha Associate professor.
Cc MCHUNGUZI HURU

Umeangalia kipindi kusikia anayoyaongelea au unaongozwa na chuki tuu??
 
Last edited by a moderator:
mkuu unafahamu au mwana jf yeyote anaefaham siku na muda ambao hua kinarudiwa kipindi hiki tafadhali? nilikimiss aisee watoto hapa waling'ang'ania kuangalia tamthilia s.tar tv nikashindwa kufanya udikteta

Kumbe siko pekee yangu anaenyanyaswa na familia yake linapokuja suala la nini na chanel gani kiangaliwe kwenye Tv sasa .tena bora wewe vi tamthilia unaweza ukapiga jicho now and then baba mie familia yangu wakiongozwa na diktera mke wangu wanaweza wakaniondokea na kuchkuch hotae mpaka naingia wazimu naenda kunywa juice ya pilipili!
 
Umeangalia kipindi kusikia anayoyaongelea au unaongozwa na chuki tuu??

Ndio. Kwani simfahamu? Au unadhani ni mgeni au leo ndio ameanza huo ujinga wake? Si kila siku hushinda ITV, BBC, Chanel 10, kubwabwaja uongo tu!!
 
Kumbe siko pekee yangu anaenyanyaswa na familia yake linapokuja suala la nini na chanel gani kiangaliwe kwenye Tv sasa .tena bora wewe vi tamthilia unaweza ukapiga jicho now and then baba mie familia yangu wakiongozwa na diktera mke wangu wanaweza wakaniondokea na kuchkuch hotae mpaka naingia wazimu naenda kunywa juice ya pilipili!

Hahahahahahaaaa!... Umenichekesha sana...
 
PROF Kitila alijitahidi kuongea mambo ya maana kidogo ...Big up kwa jana lkn
 
Kiukweli tunahitaji watu wa aina hii ku-debate siasa Zetu, hawa maprof wawili wamenifurahisha leo,wanajadili issues kwa facts,hakuna mihemko ya kisiasa kutokana na itikadi ya kila mmoja, wanapeana space kila mmoja kumsikiliza mwenzie hawabishani, no personal attacks, sometimes they lough with each other not at each other.Tafadhali vituo vya TV tunahitaji watu wa namna hii sio wale wa Jana Channel 10

Wale wa channel ten wana elimu gani?
 
wana jamvi kuweni na uahalisia, unapofurahia kusifiwa mtu wako furahia na anapokosolewa
 
Wapiga kura ndio nguvu ya uchaguzi wowote ule. Ndio demokrasia. Kama maoni ya wachambuzi wa siasa kuhusu ubora wa mgombea yangekuwa ndio kura za ushindi kwa vyovyote vile Dr Slaa 2010 angeibuka na 90% ya kura zote na JK 10% tuu. Kwani wasomi kwa maoni yao waliona hivyo, bahati mbaya wapiga kura wengi ambao wako vijijini pia walikuwa wanamfahamu JK.
Sasa kwa hili la sasa lazima tukubali kuwa Lowasa ni maarufu zaidi kwa wapiga kura kuliko Magufuli. Hizo technicality za kisera na kivyama wapiga kura wanawaachia hao Maprofesa ambao kila siku ni kuja kujadili yaliyotokea zaidi kuliko nini kifanyike kwa manufaa ya nchi. Ndio maana watu wameshasema wasomi wengi ( kwenye nyanja ya siasa) hawajatoa msaada wowote kwa nchi hii.
 
Back
Top Bottom